Hii balaaa....unaweza uza nyumba ya uridhi upate ku-mondyamondya mihips hio
Hii balaaa....unaweza uza nyumba ya uridhi upate ku-mondyamondya mihips hio
nahisi bado ni mrembo ,uzuri haujifichiNa mekapu imesaidia. Ningependa kumuona asubuhi akiwa anaamka hata kabla hajapiga mswaki![]()
Ooh yeah kwa Muda ukifika , kila kitu kitakuwa sawa .... ..Mungu ana mipango juu ya maisha yetu na anatuwazia yaliyo mema .Kumbe nisiwe na haraka ee
Nipo kibosho hukuUlizamia mazima wapi msukuma wewe lakini picha ilikaa sana kukusubiri!!
Mihangaiko ya kutafuta donaUnaniangusha mkuu... ukawaacha kwenye mataa Kelsea na shangazi ile siku hawajaona asee

Kaa kwa utulivuHuez amin katugomea hadi leo

DuhMwenzangu, bado hajatoka kanisani,tunasubiri hatujakata tamaa![]()

Naanzaje kukataaWigelekelo vibaya hivooo....wafanyie wepesi hawa warembo buana!![]()


Halafu Mimi nikajua ni muislam bana kwaule uchebe mmoja matata sana nikahisi ni ostadh asee!


Acha nijidanganye bhanaWee usije ukajidanganya🤣🤣🤣🤣
AmenOoh yeah kwa Muda ukifika , kila kitu kitakuwa sawa .... ..Mungu ana mipango juu ya maisha yetu na anatuwazia yaliyo mema .
Heaven Sent ulipost hapa hii picha juzi kati ila hata sikuelewa.God's timing
Ecclesiastes 3:1
“There is a time for everything, and a season for every activity under the heavens”
View attachment 2194565
MimiHeaven Sent ulipost hapa hii picha juzi kati ila hata sikuelewa.
Ndio naelewa Leo.

🚮🚮🚮🚮🚮🚮Wewe muda umeshafika![]()
Hahaha mechi ya jana ulibet ?Mimi
Natembea na Isaya 45:3
Hivyo siachi kubet![]()
Za kikorea ziko too emotional aisee