Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Watoto wa Green City tunavyopenda greenish
Watoto wa Green City tunavyopenda greenish
Hadi mdogo ako itabidi aanze kuvaa kijani
Gudah,, sema nn nipe ratiba kabisawozaaaaa shem akeee![emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji8]
Eeh lazima tumvalishe mbogambogaHadi mdogo ako itabidi aanze kuvaa kijani
No way
Aahaa kumbe! uzee unanijia vibaya asee[emoji1787][emoji1787]!Mamii, nilikuja nilikuona na nilikuquote kabisa
Kuna mtu(mimi hapa)nishonee kwa kweli rafiki yangu kipenzi mzuriVery smart! Umependeza mno mnoo! Ungesimama upige full basi nione mshono kuna mtu nataka nimshonee suti yahivo![emoji12]
Wigelekelo vibaya hivooo....wafanyie wepesi hawa warembo buana! [emoji12]Huez amin katugomea hadi leo
I'm doing well shangazi!Morning...
How are u?[emoji3531]
Halafu Mimi nikajua ni muislam bana kwaule uchebe mmoja matata sana nikahisi ni ostadh asee!Mwenzangu, bado hajatoka kanisani,tunasubiri hatujakata tamaa[emoji2][emoji2]
Ngoja niangalie mipango hapa nakupa soon!Gudah,, sema nn nipe ratiba kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijambo best! kabisa asimame niione vizuri!Kuna mtu(mimi hapa)nishonee kwa kweli rafiki yangu kipenzi mzuri
Hujambo mkuu
Weeee [emoji23] bado sana kuufikia uzee.Aahaa kumbe! uzee unanijia vibaya asee[emoji1787][emoji1787]!
Aisee Asante Nimecheka balaa[emoji16][emoji16]Auntie wa Junia
Ulisoma Uzi wa akina Junia?
![]()
Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister
Last Jumamosi nilipata mualiko kumtembelea Sister Home kwake Mikocheni. Nilienda na Mke Wangu na Mtoto wetu mmoja wa miaka 4.5 Saa nne tulikuwa tumefika home maana tuliambiwa siku hiyo hata kinywa tukafungulie pale na jioni tukifungie pale pale. Waswahili wanasema mtu hakatai wito. Sister ana...www.jamiiforums.com
Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister
Nakaribia kupata wakwe mwenzio!!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12]Weeee [emoji23] bado sana kuufikia uzee.
Wee unaujua uzee [emoji23] acha hizo basi.Nakaribia kupata wakwe mwenzio!!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12]
Bado bado mpaka akimaliza chuo hahaaHuamini!! Binti wa Standard 6 sio mchezo ujue![emoji12]
Mwanamke haiba 🥰Afternoon!!!![emoji113]View attachment 2194012
Yaniii! Watoto vya miaka hii Mungu TU awasaidie kwakweli!Bado bado mpaka akimaliza chuo hahaa
Yanii! Sitakagi tabu na Vijana wahuyu mama kabisa!!!Mwanamke haiba 🥰
Aaaah kwa kweli, na hivi ni vivuruge 😀Yanii! Sitakagi tabu na Vijana wahuyu mama kabisa!!!