Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
Unachosema sahihi binti yako kesho tu ustashangaa analeta mkwe, wanakua harakaYaniii! Watoto vya miaka hii Mungu TU awasaidie kwakweli!
Unachosema sahihi binti yako kesho tu ustashangaa analeta mkwe, wanakua harakaYaniii! Watoto vya miaka hii Mungu TU awasaidie kwakweli!
Huko mitaani wanavuruga hatari!!Aaaah kwa kweli, na hivi ni vivuruge 😀
Unachosema sahihi binti yako kesho tu ustashangaa analeta mkwe, wanakua haraka
Hahaa si mpaka amalize shuleAshindweeee asee umri bado ! !!
I'm doing well shangazi!
Nakukumbusha jana ulisema utatupia ulosimama!

tulia kwanza,subiri mpaka wige aje...Wigelekelo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz njoo utuokoe wenzio!!!!tulia kwanza,subiri mpaka wige aje...
Halafu Mimi nikajua ni muislam bana kwaule uchebe mmoja matata sana nikahisi ni ostadh asee!


Bila shaka atairudia nakuongeza nyingine!Hiyo picha inabidi irudiwe![]()


Bila shaka atairudia nakuongeza nyingine!
Kabisa shangazi Vijana wenyewe hawa mwendokasi wa Samia!!Naona leo hutaki makwazo na vijana![]()
Kabisa shangazi Vijana wenyewe hawa wa Samia!!
Nipange kabisa Anaibuka lini,, ili nisije kupishana na gari la mshaharaNgoja niangalie mipango hapa nakupa soon!
Ngoja niongee nae nikuulize will tell you!Nipange kabisa Anaibuka lini,, ili nisije kupishana na gari la mshahara




Koh Koh Koh .......🙊Leo mvua nyingiiii
Fanya kweli next year tushone sareNgoja niongee nae nikuulize will tell you!
Babu anakusubiri 🙊Tufanye leo jioni ujiandae nitakuja kukuchua vizuriii afu taratiiiibuuuu staili ya kibabu babu!!😜😜