Sio akilini, labda wanatumiana picha za uongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana ungeona nilivobishiwa sio tuu picha za akilini ziliwapa ujasiri wa kunibishia hivo.Huenda wanakuwa na picha zako tayri akilini sasa zikija sizo lazima watoke nduki[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sikuziona embu nitumie basi.
Mie kazi yangu kule kusoma tuu!!Nataka nikufollow Twitter embu nipe jina pls nikkawe nasoma twitt zako.
Hawezi kujua huyo[emoji23][emoji23][emoji23]Mzizi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jina la kimataifa hilo dada, muulize cute b atakuambia huyo ni nani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio akilini, labda wanatumiana picha za uongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana ungeona nilivobishiwa sio tuu picha za akilini ziliwapa ujasiri wa kunibishia hivo.
Wewe njoo pm nitakutumia[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni nani eti jamaniHawezi kujua huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Umenitamanisha safari...ngoja nikagonge moja chaapMuhudumu: kaka karibu, nikusaidie nini?
Hazard : naomba safari
Muhudumu : kubwa / ndogo
Hazard : kubwa ya baridi
Muhudumu : niifungue?
Hazard : hapana nipe maji makubwa nimezeee
Cc. Hazard CFC [emoji23][emoji23][emoji23]
Utukufu ni Kwake Bwana[emoji120][emoji120]Hallelujah
Hicho kizunguKwanini eti? Nimeaza kuwa kama lizarazu kwenye nini? !magazeti? [emoji23][emoji23][emoji23]
Niambie pembeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitasutwa mie jamani mwenzenu
Duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeona eenh?? Achana na ile couple iliyoanzisha, kuna hii couple nyingine iliyofuatisha hii nina wasiwasi nayo sana kuwa ni mtu mmoja japo sina uhakika.
Huyuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikumbushe hebu, ulisema ni nanii
This case is Closed and She is the very best friend of mine ever! !halina ubishi hiloHapana
Mimi siwezi kuwa mdogo kwako kabisaa!!
Mnazareth ni kaka yangu kabisaa...##serious###
Uwiiiii, enheee hajakwambia chochote kuhusu mimi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwelii kabisaa aki!!
Huku duniani kabisaa ni mtu na kakake
Cheka tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hunisingizii[emoji23][emoji23]Nakusingizia?
Lol[emoji23][emoji23][emoji23]Hicho kizungu
[emoji7][emoji7][emoji7]This case is Closed and She is the very best friend of mine ever! !halina ubishi hilo
Mnatutesa na dikshonari jamani doh[emoji1787][emoji1787]Lol[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaaniii!
Watu walokuwa wakisoma kimya kimya wakaamua kutoa ya moyoni
Sunrise
Coco
Mikadi na wale majirani zake ' kipepeo chadibwa, gorilla, etc
[emoji849][emoji849]