Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Apr 19, 2022 #180,981 Saint Anne said: Yaani tena siyo ombi Ni lazima Click to expand... Huyu wa sasa akiachwa sijui ataficha wapi Id yake jamaniii😬😬
Saint Anne said: Yaani tena siyo ombi Ni lazima Click to expand... Huyu wa sasa akiachwa sijui ataficha wapi Id yake jamaniii😬😬
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 19, 2022 #180,982 Heaven Sent said: Kwa kweli. Wanaume ikija kwetu ni no excuse ya kuchepuka. Ashikilie ndoa yake, na heshima yake yeye binafsi pamoja na mumewe. Kila siku unahusishwa na drama za ex mchepuko; kwako binafsi tu sio heshima Click to expand... Mimi nawaza ghafla mumewe anaibuka na kuinyaka picha matata ya boss wetu humu amebinuka serekasi. Maana kama alitubu na kumwambia kila kitu sidhani kama huyo mwanaume hakuwa curious japo kusoma kilichokuwepo na kusoma kinachoendelea.
Heaven Sent said: Kwa kweli. Wanaume ikija kwetu ni no excuse ya kuchepuka. Ashikilie ndoa yake, na heshima yake yeye binafsi pamoja na mumewe. Kila siku unahusishwa na drama za ex mchepuko; kwako binafsi tu sio heshima Click to expand... Mimi nawaza ghafla mumewe anaibuka na kuinyaka picha matata ya boss wetu humu amebinuka serekasi. Maana kama alitubu na kumwambia kila kitu sidhani kama huyo mwanaume hakuwa curious japo kusoma kilichokuwepo na kusoma kinachoendelea.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 Apr 19, 2022 #180,983 Heaven Sent said: Kwa kweli. Wanaume ikija kwetu ni no excuse ya kuchepuka. Ashikilie ndoa yake, na heshima yake yeye binafsi pamoja na mumewe. Kila siku unahusishwa na drama za ex mchepuko; kwako binafsi tu sio heshima Click to expand... Sihusiki hata chembe... nilishatoka huko kitambo Ndiomana huwa napuuzia mie nakuendelea na yangu kwakua nothing matters to me anymore!
Heaven Sent said: Kwa kweli. Wanaume ikija kwetu ni no excuse ya kuchepuka. Ashikilie ndoa yake, na heshima yake yeye binafsi pamoja na mumewe. Kila siku unahusishwa na drama za ex mchepuko; kwako binafsi tu sio heshima Click to expand... Sihusiki hata chembe... nilishatoka huko kitambo Ndiomana huwa napuuzia mie nakuendelea na yangu kwakua nothing matters to me anymore!
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 19, 2022 #180,984 Heaven Sent said: Mkurugenzi apate energy drink Click to expand... Ameupiga mrefu huyu Chief
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,903 Reaction score 57,687 Apr 19, 2022 #180,985 Strawbella said: Basi sawa Click to expand... 🥂
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 19, 2022 #180,986 Nuzulati said: Huyu wa sasa akiachwa sijui ataficha wapi Id yake jamaniii Click to expand... Kuna watu ni majasiri aiseee
Nuzulati said: Huyu wa sasa akiachwa sijui ataficha wapi Id yake jamaniii Click to expand... Kuna watu ni majasiri aiseee
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Apr 19, 2022 #180,987 Saint Anne said: Mimi nawaza ghafla mumewe anaibuka na kuinyaka picha matata ya boss wetu humu amebinuka serekasi. Maana kama alitubu na kumwambia kila kitu sidhani kama huyo mwanaume hakuwa curious japo kusoma kilichokuwepo na kusoma kinachoendelea. Click to expand... Aisee hata kama hayupo humu; nahisi atakuwa amemuweka hata spy awe anamfuatilia mkewe. Sio rahisi mtu kuamini kila kitu na kumpotezea. Ila nyie machawa khaaaa
Saint Anne said: Mimi nawaza ghafla mumewe anaibuka na kuinyaka picha matata ya boss wetu humu amebinuka serekasi. Maana kama alitubu na kumwambia kila kitu sidhani kama huyo mwanaume hakuwa curious japo kusoma kilichokuwepo na kusoma kinachoendelea. Click to expand... Aisee hata kama hayupo humu; nahisi atakuwa amemuweka hata spy awe anamfuatilia mkewe. Sio rahisi mtu kuamini kila kitu na kumpotezea. Ila nyie machawa khaaaa
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Apr 19, 2022 #180,988 Saint Anne said: Kuna watu ni majasiri aiseee Click to expand... Huu ni zaidi ya ujasiri 😬😬wenzetu sijui hawana wivu au kinyongo au kinyaaa
Saint Anne said: Kuna watu ni majasiri aiseee Click to expand... Huu ni zaidi ya ujasiri 😬😬wenzetu sijui hawana wivu au kinyongo au kinyaaa
Katriel JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 272 Reaction score 933 Apr 19, 2022 #180,989 Nuzulati said: Huyu wa sasa akiachwa sijui ataficha wapi Id yake jamaniii😬😬 Click to expand... Ni nani Kwani jamani 😃😃... she must be so insecure.. af maneno ya nini, ni kuyachulia tu mahusiano yake hayo..
Nuzulati said: Huyu wa sasa akiachwa sijui ataficha wapi Id yake jamaniii😬😬 Click to expand... Ni nani Kwani jamani 😃😃... she must be so insecure.. af maneno ya nini, ni kuyachulia tu mahusiano yake hayo..
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Apr 19, 2022 #180,990 Katriel said: Ni nani Kwani jamani 😃😃... she must be so insecure.. af maneno ya nini, ni kuyachulia tu mahusiano yake hayo.. Click to expand... Pitia pitia kwenye uzi utawakuta huko😬
Katriel said: Ni nani Kwani jamani 😃😃... she must be so insecure.. af maneno ya nini, ni kuyachulia tu mahusiano yake hayo.. Click to expand... Pitia pitia kwenye uzi utawakuta huko😬
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 Apr 19, 2022 #180,991 Nuzulati said: Pitia pitia kwenye uzi utawakuta huko😬 Click to expand... Ahsante kwa ile niqab best ila umefuta chap...
Nuzulati said: Pitia pitia kwenye uzi utawakuta huko😬 Click to expand... Ahsante kwa ile niqab best ila umefuta chap...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 19, 2022 #180,992 Heaven Sent said: Aisee hata kama hayupo humu; nahisi atakuwa amemuweka hata spy awe anamfuatilia mkewe. Sio rahisi mtu kuamini kila kitu na kumpotezea. Ila nyie machawa khaaaa Click to expand... Au hakumtajia ID? Ila kama alitubu ni lazima alimtajia ID. Hii imekaaje mkurugenzi msaidizi? Your browser is not able to display this video.
Heaven Sent said: Aisee hata kama hayupo humu; nahisi atakuwa amemuweka hata spy awe anamfuatilia mkewe. Sio rahisi mtu kuamini kila kitu na kumpotezea. Ila nyie machawa khaaaa Click to expand... Au hakumtajia ID? Ila kama alitubu ni lazima alimtajia ID. Hii imekaaje mkurugenzi msaidizi? Your browser is not able to display this video.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 19, 2022 #180,993 Nuzulati said: Huu ni zaidi ya ujasiri wenzetu sijui hawana wivu au kinyongo au kinyaaa Click to expand... Ngoja Heaven Sent aje adadavue hili
Nuzulati said: Huu ni zaidi ya ujasiri wenzetu sijui hawana wivu au kinyongo au kinyaaa Click to expand... Ngoja Heaven Sent aje adadavue hili
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 Apr 19, 2022 #180,994 Saint Anne said: Mimi nawaza ghafla mumewe anaibuka na kuinyaka picha matata ya boss wetu humu amebinuka serekasi. Maana kama alitubu na kumwambia kila kitu sidhani kama huyo mwanaume hakuwana curious japo kusoma kilichokuwepo na kusoma kinachoendelea. Click to expand... Hahahaaa.... naselfika kama wengine...... halafu watu wanazipeleka picha zangu zahumu kwa mlebanoni 🤗🤗🤗🤗 sitaki kusema mengi ila we are not lovers kitambo sana tena sanaa!!
Saint Anne said: Mimi nawaza ghafla mumewe anaibuka na kuinyaka picha matata ya boss wetu humu amebinuka serekasi. Maana kama alitubu na kumwambia kila kitu sidhani kama huyo mwanaume hakuwana curious japo kusoma kilichokuwepo na kusoma kinachoendelea. Click to expand... Hahahaaa.... naselfika kama wengine...... halafu watu wanazipeleka picha zangu zahumu kwa mlebanoni 🤗🤗🤗🤗 sitaki kusema mengi ila we are not lovers kitambo sana tena sanaa!!
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Apr 19, 2022 #180,995 Kwa umbea mimi jamanii mpaka sasa sijalala Mungu nisamehe kwa niliyoyatenda kwa siri na dhahili inshallah tukijaliwa kesho nayo ni siku🙏🏽
Kwa umbea mimi jamanii mpaka sasa sijalala Mungu nisamehe kwa niliyoyatenda kwa siri na dhahili inshallah tukijaliwa kesho nayo ni siku🙏🏽
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Apr 19, 2022 #180,996 Saint Anne said: Ngoja Heaven Sent aje adadavue hili Click to expand... Inaitwa kutesa kwa zamu: ukikipata kitumie, ukikikosa kijutie teh
Saint Anne said: Ngoja Heaven Sent aje adadavue hili Click to expand... Inaitwa kutesa kwa zamu: ukikipata kitumie, ukikikosa kijutie teh
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 19, 2022 #180,997 Katriel said: Ni nani Kwani jamani ... she must be so insecure.. af maneno ya nini, ni kuyachulia tu mahusiano yake hayo.. Click to expand... Kama ni mzurulaji humu JF utamjua tu mie nlidhan utani kumbe ukweli bwana ndio nashangaa hapa
Katriel said: Ni nani Kwani jamani ... she must be so insecure.. af maneno ya nini, ni kuyachulia tu mahusiano yake hayo.. Click to expand... Kama ni mzurulaji humu JF utamjua tu mie nlidhan utani kumbe ukweli bwana ndio nashangaa hapa
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Apr 19, 2022 #180,998 Mpendwa mahondaw nisamehe bure kama moja ya comments zangu zitakuwa zimekukwanza kipenzi🙏🏽
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Apr 19, 2022 #180,999 Nuzulati said: Kwa umbea mimi jamanii mpaka sasa sijalala Mungu nisamehe kwa niliyoyatenda kwa siri na dhahili inshallah tukijaliwa kesho nayo ni siku🙏🏽 Click to expand... Kwa kweli Bora umekumbuka kufanya toba😁😁😁
Nuzulati said: Kwa umbea mimi jamanii mpaka sasa sijalala Mungu nisamehe kwa niliyoyatenda kwa siri na dhahili inshallah tukijaliwa kesho nayo ni siku🙏🏽 Click to expand... Kwa kweli Bora umekumbuka kufanya toba😁😁😁
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,364 Apr 19, 2022 #181,000