Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Ngoja tu tuulize kuliko kuendelea kujiuliza kichwani.Kabisa. Wengi tu walikuwa wanajiuliza kimoyomoyo kama sisi; leo tumepata fursa
Mimi natamani kumuuliza tu bro japo sina mazoea nae why anapenda kuchukua wa Jf 😬😬bandika bandua.Si ndo kama hayo
Wengi tu watakuwa walitamani kumuuliza haya
Nimewasaidia
ChaaaaWanapokea ila mda wa kula na kulala
Ngoja yakukuteChaaaa
Wengine simu kama hewa,,yaani muda wote akiyanani nisingeweza Mimi
Ndo hivyo kama umependa na anatimiza mahitaji si mbaya.Chaaaa
Wengine simu kama hewa,,yaani muda wote akiyanani nisingeweza Mimi
Ngoja mahondaw atusaidie kumwita aiseeMimi natamani kumuuliza tu bro japo sina mazoea nae why anapenda kuchukua wa Jfbandika bandua.
Yanikute mara ngapi sasa?Ngoja yakukute
Kama ni kweli.....
Huoni kama kuna siku anaweza akaja akaingia JF out of curiosity? Afu imagine anakutana na comments zako like "mchepuko wako unahaha; you two are having an unfinished business etc. Na kama ulivyoongea huko kuhusu maugomvi sijui majungu kisa mchepuko wako hadi unaanzishiwa threads, it looks like bado unampambania mchepuko kutoka kwa wanawake wengine; is there any man/husband who can tolerate that? Mumeo ni hawahawa waume zetu wa kibongo ninaowafahamu au?
........
Mimi Cha kwanza kabla ya vyote ni muda.Ndo hivyo kama umependa na anatimiza mahitaji si mbaya.
Na kuna watu wana mijineno humu unaweza kimbiaMimi binafsi siwezi Jf ningeibrock kwa miaka
Tena Mwanamke aliomchukua safari hii 😬😬kuna ile kukomoana ngoja nijioneeNgoja mahondaw atusaidie kumwita aisee
Hata Mimi natamani kuuliza.
Na wanaochukuliwa hivi wanajisikiaje?
Au ndo mtu anaona ameokota dodo kwenye mnazi??
Maana unaona kabisa mwenzio alichukuliwa akapigwa chini,mwingine alichukuliwa akapigwa chini,zoezi likaendelea hadi likamfikia.
Au ndo wanaamini kwenye Imani upendo na muujiza kwamba hali itaenda kubadilikia Kwake hatapigwa chini
Sio kwamba hana mda simu wanaziacha kambini au akipokea hamtoongea vizuriMimi Cha kwanza kabla ya vyote ni muda.
Kama mtu hana muda yaani dah
Basi hao wanajeshi hawanifai..
Asee watu wanachakarika tu kutandikana ngumialoo Mimi na mapenzi ya kupiga piga simu hapo.
Pesaaaaaa!Ngoja mahondaw atusaidie kumwita aisee
Hata Mimi natamani kuuliza.
Na wanaochukuliwa hivi wanajisikiaje?
Au ndo mtu anaona ameokota dodo kwenye mnazi??
Maana unaona kabisa mwenzio alichukuliwa akapigwa chini,mwingine alichukuliwa akapigwa chini,zoezi likaendelea hadi likamfikia.
Au ndo wanaamini kwenye Imani upendo na muujiza kwamba hali itaenda kubadilikia Kwake hatapigwa chini
Kuna mwingine kachukuliwa tena?Tena Mwanamke aliomchukua safari hiikuna ile kukomoana ngoja nijionee
Sio kwamba hana mda simu wanaziacha kambini au akipokea hamtoongea vizuri
Basi hapo hakuna upendo wa kweli ndio maana safari ya mahusiano inaishia njiani.Pesaaaaaa!
Tena anahakikisha wanajuana kabisa!