Binti safari ya wapi tena?







Safari ya mwanza to Dar daddy..Binti safari ya wapi tena?
Huagi?![]()
Shikamoooooo mwaliiiiiiimuGood evening friends!View attachment 2189831
Marahabaaaaa!!
Boss lady 🙌Good evening friends!View attachment 2189831
Miss you 😘😘!!Boss lady 🙌
Thanks 😘😘Miss you 😘😘!!
🥰na mimi ndio nimemalizia sasahivi...
Fanya wepesi mkuu!🙄😀😀😀
Majukumu ya hapa na pale mkuu ila nipo Sana tu mie!Thanks 😘😘
Ulipotea siku mbili tatu hivi
Karibu sana mkuu, hongera sana kwa majukumu.Majukumu ya hapa na pale mkuu ila nipo Sana tu mie!
Haya nawe selfika basi mkuuKaribu sana mkuu, hongera sana kwa majukumu.
Wadau wanaendelea kuselfika
Asante nawe pia rafiki...leo hutoi Location ??Niwatakie kheri ya pasaka in advance marafiki zangu wapendwa..
Mungu awabariki sana…
Inakuja mkuu 😀😀wanautendea uzi haki Kam kauwaaaaaaaa...
Haya nawe selfika basi mkuu