Hahaha mliona kuna kitu hakipo sawa mkapotezea...kumbe kweli bana
Shee hebu acha utani!!Mmh zile za bajaj bana TUMA za kilongalonga
Ni nini hiki jamani[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Wewe na Sakayo ni chupa na mfuniko. Asubuhi uko na sumbai mchana uko na kalumanzila Mshana Jr jioni uko na 4G LTE na usiku uko na Relief Mirzska [emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Hujanikosea kitu eti....[emoji23][emoji23][emoji23]U are very best friend of mine!!!Hivi mbona mimi hauniitagi dada? Kwani nimekukosea nini eti? [emoji23][emoji23][emoji23]
Najua unatania mkuu ila njia za kumsalimia zipo nyingi. Mfano naweza nikamtag kule Twitani na kumsifia si unajua na yeye anapenda sifa kama John wa chattle, basi baada ya kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa huenda aka reply back
Hata mimi unadhani naelewa[emoji1745][emoji1745][emoji1745]Ni nini hiki jamani[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
Mkuu, wewe ni ke au me? Au unaweka picha za demu wako? Usinielewe vibaya lakini [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1249253
Hahaha mimi kwakweli lile shindano nimelistop... njemba inaweza kushiriki ikaruka na mkwanja kiulaini kabisa
Hizo nywele kama zangu kabisaa jamani
Msubhate [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] sio kwa mafoto hayo, walah we ni mkali. Haya wale wa fyoko fyoko mlotuzoea sie tulofanana na babu zetu halafu hatuna kazi mkuje muongee tena.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe hujashuka nawekana miguu sawa ndo najifotoa jamani!!
Achana na teege kabisaa my dear
Asante sanaKaribu sana usikose eti...Nimekuwekea Seat ya mbele kabisa
Tunataka tuone mdomo mamiii....Lile shindano tutataka mkipiga selfie ushike kikaratasi kilichoamdikwa "JF"[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo babe wangu ni mmoja wengine umenisingizia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi unadhani naelewa[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Naomba unieleweshe ili nidai mahari.
Ni me/ke, huwezi kuwa mwanaume ukajiita jina la kike.Sidhani huyo ni picha zake, kwanza nina wasi wasi na njisi yake. Probably ni Me
Hallelujah
Kubwa lao ni buku bana
Sasa mbona ulienda kununua malaya mkuu??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chizi wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Edlyne bana