Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 14, 2022 #179,521 Shimba Ya Buyenze said: Kazi ninayo hakyanani Click to expand... Kazi gani hiyo profesa?
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 14, 2022 #179,522 Jichawi yule Shauri yako Saint Anne said: We wige Unataka uthibitisho gani badala uamini tu maneno ya mshana Click to expand...
Jichawi yule Shauri yako Saint Anne said: We wige Unataka uthibitisho gani badala uamini tu maneno ya mshana Click to expand...
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 14, 2022 #179,523 Saint Anne said: Bila bila ni nini? Click to expand... Naked
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 14, 2022 #179,524 Saint Anne said: Niliona zimewekwa kwenye mfuko zinapigwa na nzi yaani Click to expand... Kha hizo sio za kununua kabisa Ilikuwa kwenye road nini ?
Saint Anne said: Niliona zimewekwa kwenye mfuko zinapigwa na nzi yaani Click to expand... Kha hizo sio za kununua kabisa Ilikuwa kwenye road nini ?
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 14, 2022 #179,525 Saint Anne said: Ya kwa mpalange wanaita Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 14, 2022 #179,526 Depal said: Hamnaga Pasaka ya bila mvua 😇 Click to expand... Lazima inyeshe Malango ya Mbinguni yanafunguka...Kristo wetu huyooo Anapaaa. Halafu kuna watu pamoja na yote hawamwamini nyie akiyanani dunia ina mambo hii!
Depal said: Hamnaga Pasaka ya bila mvua 😇 Click to expand... Lazima inyeshe Malango ya Mbinguni yanafunguka...Kristo wetu huyooo Anapaaa. Halafu kuna watu pamoja na yote hawamwamini nyie akiyanani dunia ina mambo hii!
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 14, 2022 #179,527 Saint Anne said: Ya kwa mpalange wanaita Click to expand... Hilo jina tu Nzi unawakosaje Kwa mfano
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 14, 2022 #179,528 Tinsley said: Kha hizo sio za kununua kabisa Ilikuwa kwenye road nini ? Click to expand... Mbezi pale Kwenye maduka maduka
Tinsley said: Kha hizo sio za kununua kabisa Ilikuwa kwenye road nini ? Click to expand... Mbezi pale Kwenye maduka maduka
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Apr 14, 2022 #179,529 Tinsley said: Anne tambi mbichi hizi zinapatikana mwezi huu ramadhani tu.. hapo nimeziweka binzari ya njano ili kuweka rangi na ladha nzuriView attachment 2187754 Click to expand...
Tinsley said: Anne tambi mbichi hizi zinapatikana mwezi huu ramadhani tu.. hapo nimeziweka binzari ya njano ili kuweka rangi na ladha nzuriView attachment 2187754 Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 14, 2022 #179,530 Wigelekelo said: Hilo jina tu Nzi unawakosaje Kwa mfano Click to expand... Kumbe tatizo ni huku uswahilini ninakokaa😂
Wigelekelo said: Hilo jina tu Nzi unawakosaje Kwa mfano Click to expand... Kumbe tatizo ni huku uswahilini ninakokaa😂
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,269 Apr 14, 2022 #179,531 Asiii Asilegee moyo weeee Asitokwe machozi Aki…Akimkumbuka Munguwe kwa yakeee makombozi Lenie kesho ibada saa 9, sasa ulale 😁
Asiii Asilegee moyo weeee Asitokwe machozi Aki…Akimkumbuka Munguwe kwa yakeee makombozi Lenie kesho ibada saa 9, sasa ulale 😁
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 14, 2022 #179,532 Saint Anne said: Kumbe tatizo ni huku uswahilini ninakokaa Click to expand... Mimi Sijasema
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 14, 2022 #179,533 Wigelekelo said: Mimi Sijasema Click to expand... Asante
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 14, 2022 #179,534 Para ya mwanzo Nimesisimka hatari Depal said: Asiii Asilegee moyo weeee Asitokwe machozi Aki…Akimkumbuka Munguwe kwa yakeee makombozi Lenie kesho ibada saa 9, sasa ulale Click to expand...
Para ya mwanzo Nimesisimka hatari Depal said: Asiii Asilegee moyo weeee Asitokwe machozi Aki…Akimkumbuka Munguwe kwa yakeee makombozi Lenie kesho ibada saa 9, sasa ulale Click to expand...
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,531 Apr 14, 2022 #179,535 Heaven Sent said: Aah hawajawafikia kaka zetu Bado Click to expand... Kumbe mnacompare? Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Heaven Sent said: Aah hawajawafikia kaka zetu Bado Click to expand... Kumbe mnacompare? Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 14, 2022 #179,536 Wigelekelo said: Naked Click to expand... Shule yenyewe sikwenda akiyanani Hebu fafanua kwa faida ya sisi fom tuu
Wigelekelo said: Naked Click to expand... Shule yenyewe sikwenda akiyanani Hebu fafanua kwa faida ya sisi fom tuu
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 14, 2022 #179,537 Saint Anne said: Mbezi pale Kwenye maduka maduka Click to expand... Ooh sawa Wengine kwenye biashara wanaweka vitu ovyo tu ndo maana wengine wanaenda supermarket au mini shops hizi .
Saint Anne said: Mbezi pale Kwenye maduka maduka Click to expand... Ooh sawa Wengine kwenye biashara wanaweka vitu ovyo tu ndo maana wengine wanaenda supermarket au mini shops hizi .
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 14, 2022 #179,538 Wigelekelo said: Jichawi yule Shauri yako Click to expand... Alishaokoka.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 14, 2022 #179,539 cocastic said: Click to expand... Hello coca Mzima
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,269 Apr 14, 2022 #179,540 Wigelekelo said: Para ya mwanzo Nimesisimka hatari Click to expand... Naipenda hiyo nyimbo Kuna namna uwa inavutwaa Umesisimka na nini?
Wigelekelo said: Para ya mwanzo Nimesisimka hatari Click to expand... Naipenda hiyo nyimbo Kuna namna uwa inavutwaa Umesisimka na nini?