Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 14, 2022 #179,481 Yesu akafa msalabani Kuniponya akalipa deni Ni ajabu ya jinsi gani Kunifia mimi ❤❤❤❤🤲
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 14, 2022 #179,482 Nikikumbuka kama wewe Mungu Ulivyompeleka mwanao Are azichukue dhambi zetu Kuyatambua ni vigumu mno Roho yangu na ikuimbie Jinsi wewe Ulivyo mkuu
Nikikumbuka kama wewe Mungu Ulivyompeleka mwanao Are azichukue dhambi zetu Kuyatambua ni vigumu mno Roho yangu na ikuimbie Jinsi wewe Ulivyo mkuu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 14, 2022 #179,483 Panapo msalaba Kinatolewa cheti Cha kuingia Mbinguni Kisicho cha kanisa Usifiwe msalaba Lisifiwe kaburi Linalozidi yote Asifiwe Mwokozi.
Panapo msalaba Kinatolewa cheti Cha kuingia Mbinguni Kisicho cha kanisa Usifiwe msalaba Lisifiwe kaburi Linalozidi yote Asifiwe Mwokozi.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 14, 2022 #179,484 Nalipotea katika dhambi Nikawa mtumwa wa shetani Akaja Yesu kuniokoa Yeye kanipa kuwa huru Sikilizeni Furaha yangu Mungu ni pendo Anipenda Hallelujah Mungu ni pendo Apenda watu Mungu ni pendo anipenda.
Nalipotea katika dhambi Nikawa mtumwa wa shetani Akaja Yesu kuniokoa Yeye kanipa kuwa huru Sikilizeni Furaha yangu Mungu ni pendo Anipenda Hallelujah Mungu ni pendo Apenda watu Mungu ni pendo anipenda.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 14, 2022 #179,485 Sioshwi dhambi zangu Bila damu yake Yesu Hapendezewi Mungu Bila damu yake Yesu Sipati tumaini Bila damu yake Yesu Wema wala amani Bila damu lake Yesu Sipati patanishwa Bila damu yake Yesu Hukumu yanitisha Bila damu yake Yesu Twaimba utukufu Una damu yake Yesu Milele twaisufu hiyo damu yake Yesu Hakuna kabisa Dawa ya makosa Ya kututakasa Ila damu yake Yesu
Sioshwi dhambi zangu Bila damu yake Yesu Hapendezewi Mungu Bila damu yake Yesu Sipati tumaini Bila damu yake Yesu Wema wala amani Bila damu lake Yesu Sipati patanishwa Bila damu yake Yesu Hukumu yanitisha Bila damu yake Yesu Twaimba utukufu Una damu yake Yesu Milele twaisufu hiyo damu yake Yesu Hakuna kabisa Dawa ya makosa Ya kututakasa Ila damu yake Yesu
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 14, 2022 #179,486 Saint Anne said: Uthibitisho gani unautaka? Click to expand... Acha kukaza shingo Hujaelewa nini Ewe Mkurugenzi
Saint Anne said: Uthibitisho gani unautaka? Click to expand... Acha kukaza shingo Hujaelewa nini Ewe Mkurugenzi
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 14, 2022 #179,487 Heaven Sent said: Ndiyo tupunguzage kuwajudge wanaotoka kwenye ndoa zao Click to expand... Nilifikiri gunia za mkaa Mtakuwa mmeelewa Kumbe bado Endeleeni mnyooshwe mazima
Heaven Sent said: Ndiyo tupunguzage kuwajudge wanaotoka kwenye ndoa zao Click to expand... Nilifikiri gunia za mkaa Mtakuwa mmeelewa Kumbe bado Endeleeni mnyooshwe mazima
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 14, 2022 #179,488 Heaven Sent said: Na wanaume walivyo,baada ya miezi anavuta kitu kipya, ushasahaulika Click to expand... Miezi Siku kadhaa tu
Heaven Sent said: Na wanaume walivyo,baada ya miezi anavuta kitu kipya, ushasahaulika Click to expand... Miezi Siku kadhaa tu
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 14, 2022 #179,489 Saint Anne said: Tunafuata protokali Mkubwa kwanza Mimi bado nile nile ugali wa bure nyumbani weee..kwenda kupurukushana na mtoto wa mtu sasahivi bado Click to expand... Ukiolewa si unakuwa free Ama unaogopa kulala bila pichu
Saint Anne said: Tunafuata protokali Mkubwa kwanza Mimi bado nile nile ugali wa bure nyumbani weee..kwenda kupurukushana na mtoto wa mtu sasahivi bado Click to expand... Ukiolewa si unakuwa free Ama unaogopa kulala bila pichu
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,417 Apr 14, 2022 #179,490 Heaven Sent said: I can imagine marehemu angeamua kutoka kwenye ndoa yake; hayo maneno na masimango ambayo tungembebesha. Leo amefariki kwa kipigo, tunajifanya kusikitika. Mungu atusaidie Click to expand... Si ajabu angetengwa na kanisa. Shida tupu yaani. Sasa mpaka kafa!
Heaven Sent said: I can imagine marehemu angeamua kutoka kwenye ndoa yake; hayo maneno na masimango ambayo tungembebesha. Leo amefariki kwa kipigo, tunajifanya kusikitika. Mungu atusaidie Click to expand... Si ajabu angetengwa na kanisa. Shida tupu yaani. Sasa mpaka kafa!
NDINDA Platinum Member Joined Apr 4, 2011 Posts 10,726 Reaction score 49,572 Apr 14, 2022 #179,491 Saint Anne said: Au umefungulia mziki Click to expand... Banda la kuku
wegman JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 1,470 Reaction score 2,095 Apr 14, 2022 #179,492 Saint Anne said: Heaven Sent warangi wapo kutunyosha safari hii wegman njoo uokoe jahazi. Click to expand... Imekuaje tena Nkamu 🙄
Saint Anne said: Heaven Sent warangi wapo kutunyosha safari hii wegman njoo uokoe jahazi. Click to expand... Imekuaje tena Nkamu 🙄
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 Apr 14, 2022 #179,493 Saint Anne said: Tunafuata protokali Mkubwa kwanza Mimi bado nile nile ugali wa bure nyumbani weee..kwenda kupurukushana na mtoto wa mtu sasahivi bado Click to expand... Hihiiii
Saint Anne said: Tunafuata protokali Mkubwa kwanza Mimi bado nile nile ugali wa bure nyumbani weee..kwenda kupurukushana na mtoto wa mtu sasahivi bado Click to expand... Hihiiii
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 14, 2022 #179,494 wegman said: Imekuaje tena Nkamu Click to expand... Tunakutegemea nkamu utuwekee zile picha zako kabambe
wegman said: Imekuaje tena Nkamu Click to expand... Tunakutegemea nkamu utuwekee zile picha zako kabambe
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 14, 2022 #179,495 NDINDA said: Banda la kuku Click to expand... Safi sana Waache kuku wapumue kidogo
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,417 Apr 14, 2022 #179,496 Saint Anne said: Panapo msalaba Kinatolewa cheti Cha kuingia Mbinguni Kisicho cha kanisa Usifiwe msalaba Lisifiwe kaburi Linalozidi yote Asifiwe Mwokozi. Click to expand... Mbarikiwa Mwakipesile ameitendea haki hii tenzi. Unaisikiliza mpaka unatokwa na machozi yaani...
Saint Anne said: Panapo msalaba Kinatolewa cheti Cha kuingia Mbinguni Kisicho cha kanisa Usifiwe msalaba Lisifiwe kaburi Linalozidi yote Asifiwe Mwokozi. Click to expand... Mbarikiwa Mwakipesile ameitendea haki hii tenzi. Unaisikiliza mpaka unatokwa na machozi yaani...
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Apr 14, 2022 #179,497 Wigelekelo said: Nilifikiri gunia za mkaa Mtakuwa mmeelewa Kumbe bado Endeleeni mnyooshwe mazima Click to expand... Nimecheka japo inasikitisha
Wigelekelo said: Nilifikiri gunia za mkaa Mtakuwa mmeelewa Kumbe bado Endeleeni mnyooshwe mazima Click to expand... Nimecheka japo inasikitisha
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 14, 2022 #179,498 Wigelekelo said: Ukiolewa si unakuwa free Ama unaogopa kulala bila pichu Click to expand... Kumbe kuna kulala bila gauni la style ya Abiudi
Wigelekelo said: Ukiolewa si unakuwa free Ama unaogopa kulala bila pichu Click to expand... Kumbe kuna kulala bila gauni la style ya Abiudi
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Apr 14, 2022 #179,499 Aah hawajawafikia kaka zetu Bado🤣🤣 Saint Anne said: Heaven Sent warangi wapo kutunyosha safari hii wegman njoo uokoe jahazi. Click to expand...
Aah hawajawafikia kaka zetu Bado🤣🤣 Saint Anne said: Heaven Sent warangi wapo kutunyosha safari hii wegman njoo uokoe jahazi. Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 14, 2022 #179,500 Shimba Ya Buyenze said: Mbarikiwa Mwakipesile ameitendea haki hii tenzi. Unaisikiliza mpaka unatokwa na machozi yaani... Click to expand... Safi Meneja. Endelea kububujika kwa Bwana.
Shimba Ya Buyenze said: Mbarikiwa Mwakipesile ameitendea haki hii tenzi. Unaisikiliza mpaka unatokwa na machozi yaani... Click to expand... Safi Meneja. Endelea kububujika kwa Bwana.