Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,570
- 235,411
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulitaka
Uwe Onyinye wa kwa mama john pale mafiat
Kyela kuzuri mna dongo zuri
Mna niaje safi[emoji1787]
Umeninyima picha uliyoweka?Khaaa ile hapana mchumba
Yes AnneKweli?
Ndio maana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Mimi nakaa kule mama Joni ndanindani karibu na Ilemi
[emoji1787][emoji1787]
Mwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yes Anne
Umependeza
Nkamu naomba uedit comment yangu kwenye jina[emoji1787]ila yule Kaka Mungu amsaidie tu Nkamu, sio kila kitu cha kuleta hadharani
Kweli unapendezea surualiMwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha uongo
Kabisa yaaniNdio maana
Umeshindikana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli unapendezea suruali
Official fulani hivi
Sina picha mpya mkuuMweee
Onyinye wa Uyole?[emoji1787]
Tubariki na picha
Aisee kila kitu mazoea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najionaga kama nipo uchi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchumba. Who? Which? Where? [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
HapanaAisee kila kitu mazoea
Hiyo sio suruali ya kitambaa ?
Jeans ndo huwa zinabana sana
Hata za zamani boss
Nimesisimka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najionaga kama nipo uchi
Ooh okayHapana
Siyo kitambaa.
Ni kama kitight hivi yaani huwa kinanichekesha[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo cafe sijui n grocery, waambie wawe wasafi, sinia lina kutu, meza sasa ile ya buchan ya kukatia nyama nzuri, aaaaah siwezi mie khaaah
Ashakuwa wa kwetu buzaPrivacy zipi hizo? [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Vocha siku hizi zina privacy?