Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Kijana wa hovyo 👊🏾👊🏾👊🏾tbt wiki moja iliyopita kabla sijaacha pombeView attachment 1965669
Kijana wa hovyo 👊🏾👊🏾👊🏾tbt wiki moja iliyopita kabla sijaacha pombeView attachment 1965669
Kama kawaida yako....Live Location mpaka ime-expire 😬😬😬Mbona sioni?
Hahahaha hivi hutumiii eeeKijana wa hovyo [emoji1477][emoji1477][emoji1477]
Kama kawaida yako....Live Location mpaka ime-expire [emoji51][emoji51][emoji51]
🤔🤔🤔 nataka unikaribishe vizuri... 🙂Usinifanyie hivyo bana. 🤣🤣🤣🤣🤣
Au unataka ukija Christmas nisikukaribishe vizuri 🤔😏
Nitakunywesha hadi uzimie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzuri tutakutana wote maexpertView attachment 1965832
Mie nakulaumu wewe... we mwambie uncle anamsalimia 😀😀,
Khaaa cant wait[emoji23]Nitakunywesha hadi uzimie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzuri tutakutana wote maexpertView attachment 1965832
Naangaliaga tu huku nafukuza nyuki 😁😁🙈Hahahaha hivi hutumiii eee
Unanilaumu bure kabisa dear uncle 😔😔 maana the ball is on your court ila tu unajisikia kunichosha 😐Mie nakulaumu wewe... we mwambie uncle anamsalimia 😀😀,
Halafu hilo swali alilopata mwambie xmas zawadi inamuhusu
Mention five sensory organs
1.Skin ✔️
2.eyes ✔️
3.tongue ✔️
4.ears ✔️
5.nose ✔️
💯
👏👏👏👏
Tena nakunywesha za bei ndogo ndogo,za elfu 3,3 ili ziwe nyingi[emoji23]
Hio lazima, yaani teacher lazima apate precious gift... 🙂Unanilaumu bure kabisa dear uncle 😔😔 maana the ball is on your court ila tu unajisikia kunichosha 😐
😁😁😁😁 Zawadi gani tuanze kufurahia kabisa in advance 🙂 Hopefully mwalimu nae anapata zawadi sio dada H tu😉
Hamna kitu kigumu kama kumshikia mtu hela[emoji38]Duh, noma sana
Nilivyo kiwavi mie huo msosi hadi saa 4,tumbo linakwangua balaa[emoji23]
Hamna kitu kigumu kama kumshikia mtu hela[emoji38]
Eti eeh?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah, Ni swala la kusema kuna hela zimedondoka na sijui zimedondoka wapi, tuone atakufanyaje. [emoji41]
Eti eeh?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni bora nidondoshe simu kuliko kudondosha notee1 tu ya dala 100