Ahsante nkamu🙏🙏Ni Fanta orange hiyo[emoji3]
Karibu vyote
Ahsante nkamu🙏🙏Ni Fanta orange hiyo[emoji3]
Karibu vyote
Nkamu unakula ama unaonja?Late dinner🥲🥲
Kitambi hakiishi
[emoji4]Ahsante nkamu[emoji120][emoji120]
Mpishi si ni ww bossZipo nyingi
Nguvu yako tu boss wanguView attachment 2185402
Nkamu, hivyo viwali ndo vikupe kitambi??
Mbombo ngafu[emoji12]
Karibu nkamu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Nimetamani tambiii
Kama izo sisi tunaonjaga jikonNkamu saa nne kasoro ujue kinaenda kukaa tu tumboni[emoji3]
Zipo nyingi
Nguvu yako tu boss wanguView attachment 2185402
Ukikusanya vyombo ukafanya maandalizi ya kulala kidogo tu njaa hii hapa😜Nkamu saa nne kasoro ujue kinaenda kukaa tu tumboni[emoji3]
Nkamu unakula ama unaonja?
Ni mimi
Mimi leo nimekula kingi[emoji23][emoji23]Nkamu najifanya nakuiga wewe kula kidogo
Uwiii za sukari siwezagi[emoji23][emoji23][emoji23]Umeweka sukari na chumvi? au sukari tupu
Wewe kahandsome aisee
Uwiii za sukari siwezagi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawekaga chumvi kwa mbaliumeweka chumvi? ungenilaza njaa[emoji3]
Kama wewe ulivo byutifuu bossWewe kahandsome aisee
Unanitia moyo mkuu [emoji23][emoji23]