spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,119
- 21,806
Hivi mkuu,usipokula daku kinatokea nini?
Sawa mkurugenziNiite mkurugenzi tena consistently tuone [emoji16][emoji16][emoji16]
Usiende kule kama una roho nyepesi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] leo ktk uzi wa siasa nusu nipigwe Ban, kule watu wanakera sana aaaah.
Hata ukiingilia haiwezi saidia chochote.Mimi siwezi kuingilia ugomvi wa Wakurugenzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamiliki wa fastjet hawa wanatutesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ila JF bhana, watu wanavamia na pasipohusika, nimeona hapo Muhaya kakuibukia.
Mdogo angu Pep nimuwekeage tu energy drinksHata ukiingilia haiwezi saidia chochote.
Kibri kikishanipanda..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itabidi niende nikaone haya maeneo kabla sijacomment[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo,
Umenikumbusha leo, chuon watu walikuwa wanashindanisha Buza na mbagala. Nimecheka km mwehuu yaan. Khaaaah.
First strike [emoji3581]Sawa mkurugenzi
Pep ni nani aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mdogo angu Pep nimuwekeage tu energy drinks
Ndo nini hicho kiongozi?First strike [emoji3581]
Leo skuna ingine[emoji3059][emoji3059]
Si ulisema hutaki skuna?Leo skuna ingine[emoji3059][emoji3059]
Tunaoteseka ni sisi tusio na skuna.
Kuna mtu unamnyong'onyeza hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napata hypoglycemia [emoji1787]Hivi mkuu,usipokula daku kinatokea nini?
Mbona unatutesa maboss jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Si ulisema hutaki skuna?
Coca mwenyewe sijui kaenda wapi
[emoji1787]huwezi mkùu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huwezi mkùu
Sauna nightPambana na hali yako. Ngongoti oyeeeeView attachment 2184502
Sauna tena? UghonegeSauna night
Sijui night of skuna
Asiye na skuna abandike jiwe chini[emoji1787]