Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Nimeongelea maelezo uliyoyatoa mkuuPulizi usinirudishe huko jamani. Nilikosa mimi. Nilikosa sana![]()

Mimi na wewe si hatujazaliwa tumbo moja.
Chagua basi jina.
Nimeongelea maelezo uliyoyatoa mkuuPulizi usinirudishe huko jamani. Nilikosa mimi. Nilikosa sana![]()

Kuna mhaya amekuandikia Mtumishi wangu?Pamba safi + nice manly cologne + coffee + little $ in the pockets + leisure reading = perfect day
View attachment 2184170
Mkurugenzi linamfaaNimeongelea maelezo uliyoyatoa mkuu
Mimi na wewe si hatujazaliwa tumbo moja.
Chagua basi jina.



Tutavaa kaptura za marindaNa mtakuja uwata kuchemka na ngoma, hakuna namna
Zile kaptura zenu tutazivua,,tutawapa suruali za mapanga![]()


Ni muhaya aliyechangamkaKuna muhaya amekuandikia Mtumishi wangu?

Aaaah kumbe?Ni muhaya aliyechangamka![]()
Ninafarijika kusikia umzima wa afya my dear 😍
Nimeongelea maelezo uliyoyatoa mkuu
Mimi na wewe si hatujazaliwa tumbo moja.
Chagua basi jina.





Mie nipoooo mbna lect, wee ndo umepotea kisa vocha,Student ulipotea sana![]()





Hili la mkurugenzi lilikaa mubashara sanaMkurugenzi linamfaa![]()
Mara moja moja siyo mbaya...ningekuwa ni Mhaya ningeongezea na ndinga kali na pisi ya kueleweka....Hiyo tu nimehangaika kuandika naandika nafuta naandika nafuta. Kweli kila mtu na fani yakeKuna muhaya amekuandikia Mtumishi wangu?







vyombo which? Who? Where?Sasa kama siyo kaka yanguWewe ni kadogo kangu tu hata ufanyeje...
Jina lo lote tu isipokuwa mkuu, chifu, bosi, mkurugenzi, kaka...na mengineyo![]()
Acha tu mkuuSauti yako inasikika Kwa mbali kuwa ni ya unyonge
Usimsikilize huyo...AtakupotoshaHili la mkurugenzi lilikaa mubashara sana



Mbna nguva km,? Afu satini hiyooo?
Kwamba dogo hujaona vyombo hapo mezani au dharau?vyombo which? Who? Where?






