ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,847
Sikufanikiwa mambo yaliingiliana but leo jmosi lazima nile kitimoto choma[emoji23][emoji23][emoji23] ulipita mzee?
Sikufanikiwa mambo yaliingiliana but leo jmosi lazima nile kitimoto choma[emoji23][emoji23][emoji23] ulipita mzee?
Ni Castor Oil. Sio Castrol Oil.Yes ni mafuta ya nywele
Castrol oil
Haya mafuta ni multi purpose ..
OkayNi Castor Oil. Sio Castrol Oil.
hahahaha.mtapaka lubricants za magari sasaNi Castor Oil. Sio Castrol Oil.
Tunazungumzia mafuta ya mnyonyo ambayo ni multi purpose na sio lubricant .hahahaha.mtapaka lubricants za magari sasa
hahaha.najua best nimechomekea tuTunazungumzia mafuta ya mnyonyo ambayo ni multi purpose na sio lubricant .
Castor oil is a vegetable oil pressed from castor beans. It is a colourless or pale yellow liquid with a distinct taste and odor.
Okayhahaha.najua best nimechomekea tu
Ninayo hapa japo nimekaribia kuishiwa. Ni mazuri sana kwa ngozi na nywele [emoji91]Tunazungumzia mafuta ya mnyonyo ambayo ni multi purpose na sio lubricant .
Castor oil is a vegetable oil pressed from castor beans. It is a colourless or pale yellow liquid with a distinct taste and odor.
Haya yatakuwa mazuri sana .Ninayo hapa japo nimekaribia kuishiwa. Ni mazuri sana kwa ngozi na nywele [emoji91]
View attachment 2181177View attachment 2181178
Hapana. Hayana harufu. Na kama haya organic hayauzwi madukani. Ni mpaka kuyaagiza moja kwa moja kutoka kwa watengenezaji ila ni mazuri sana. Imagine yanalainisha hata ngozi ya uso wa mzee wa miaka 76...na nasikia yanafuta kabisa stretch marks aka michirizi ya utamu - kwa wasiopenda....[emoji2221]Haya yatakuwa mazuri sana .
Vipi ya huko hayana harufu hivi ?
Tiba ni kuzaa[emoji1787]Sema acne za hormones ni noma.
Zinajuaga kutaradadi hizoo [emoji23][emoji23]
Kuna Dr mmoja alinambia ni kuzidi kwa hormones gani sijui, tiba ni kuzaa [emoji2215]
[emoji849]Mwee itakuwa hormone ya hamu imezidi..
Nisake mtoto sasa
Hapana. Hayana harufu. Na kama haya organic hayauzwi madukani. Ni mpaka kuyaagiza moja kwa moja kutoka kwa watengenezaji ila ni mazuri sana. Imagine yanalainisha hata ngozi ya uso wa mzee wa miaka 76...na nasikia yanafuta kabisa stretch marks aka michirizi ya utamu - kwa wasiopenda....[emoji2221]
[emoji1787][emoji1787]hahahaha.mtapaka lubricants za magari sasa
Hadi Petrol tutapaka tukisikia ni dawa [emoji2]hahahaha.mtapaka lubricants za magari sasa