Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Mgongo mwambie bibi akufanyie masaji utakaa sawa.Mimi na Bibi yenu hatujambo kabisa, ila Babu yako nasumbuliwa na mgongo, huenda shughuli za shamba zimenizidi 🙊
Si unajua huku Kijijini kwetu Umeme bado haujafika Mjukuu, simu ziliisha chaji🤪
Fanyeni mpango wa Miwani Wajukuu, walau niwe naperuzi JF kidogo kuondoa stress za Uzee 🙈🏃🏃🏃
Otherwise, Babu amekumisi pia
Miwani umepata babu, anything for babu yetu.




