Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,568
- 235,405
Mimi huyuAsante dear
Hapo bado kila ukichana chanuo linatoka na nywele[emoji23]
Zinachosha, uzuri pia saiv kuna style nying za short hair za kisasa so hata ukinyoa bado utakua msupu tu
Usnambie nitapunyuka nywele😂😂Abeee
Yan hiyo nywele kuiwekea curly tena labda uikate other wise kitakukuta kitu hichoo
Small lips hold big kisses[emoji4][emoji1494][emoji1494][emoji1494][emoji1494][emoji1494]
Warapen?Kind down
Sijielewi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unafuta fasta sana 🤭Si kila siku natuma picha humu!View attachment 2180769
Itakunyonyoa vibaya mnoUsnambie nitapunyuka nywele😂😂
Si nikiacha zioteane itarud nachuro af ndio niwele curl au itabuma?
Kuchana weaving inahitaji utaalamu mara mwisho nimeweka weaving nilikaa week tu aisee nikalitupia huko ..Na mimi misivyojua kuchana
Lile weaving tu lilijiviringa[emoji23]
Kufumua nilikuwa nakata kata tu
Ni maumivu moyoni bas tu unakua hauna namnaMimi huyu
Kila siku nywele zinang'oa chanio[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni maumivu moyoni bas tu unakua hauna namna
Nitachekaaaaaaa🤣🤣🤣Itakunyonyoa vibaya mno
Curly!! Haha inataka nywele pure nachuro
Mimi sijuagi kuchanaKuchana weaving inahitaji utaalamu mara mwisho nimeweka weaving nilikaa week tu aisee nikalitupia huko ..
Sema zenyewe wanasuka vuzuri kwa ndani ikiwa umecrotch bambuacha aisee inakata nywele vibaya .
Ewaa afadhaliItakunyonyoa vibaya mno
Curly!! Haha inataka nywele pure nachuro
Pole SanaMimi hadi sasa sielewi nipake nini usoni[emoji19]
Wengine wameenda mbali na kuniambia hormal imbalance na blah kibao.
Chrotchet inakata nywele balaa.Kuchana weaving inahitaji utaalamu mara mwisho nimeweka weaving nilikaa week tu aisee nikalitupia huko ..
Sema zenyewe wanasuka vuzuri kwa ndani ikiwa umecrotch bambuacha aisee inakata nywele vibaya .
Likikuwa na mawimbi au ?Mimi sijuagi kuchana
Imagine weaving la Angelina tu lilijiviringa
Sasa hizo crotchet za Rasta si ndio kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm ilinikuta nilipokuja mkoani huku nilikuwa sitamaniki lakn now nashukuru sema sikupata tabu nilienda kwa daktar maana ukisikiliza kilaushauri utapaka Hadi mkojoMimi hadi sasa sielewi nipake nini usoni[emoji19]
Wengine wameenda mbali na kuniambia hormal imbalance na blah kibao.
Hahaha kweli aiseeChrotchet inakata nywele balaa.
Kupendeza utapendeza sana ila baada ya hapo haloo utafrahia upara ukianza taratibu[emoji23]
Yes,kufunika sana,na kukaa muda bila kuretouch ni tatizoHapana sijaweka mda nadhani kwa kuwa mda mwingi nakuwa na zifunika
Mwiba wa samaki ngoja ni google hii mpya kwangu🙇🏼♀️Hahaha kweli aisee
Kuna misuko inakata balaa nilisukaga mwiba wa samaki aisee ile nywele balaa ...kuifumua ni shida lazima utajuta ,nywele ilikatika balaa
Kwani uongo nkamu??[emoji23]