Selfika na JF: Snap it. Show it


Aisee kumbe wengine wanatoboa watoto mapema hivyo .Ila bora mapema anakuwa hata hajui yeye .

Nikija kutoboa nitafanya hivyo ,asante kwa ushauri .
 
Ooh Asante
Sema hivi vinywele vyangu sijui kama vitaweza kukaa miezi yote hiyo . Na kusuka nywele nikae nazo muda mrefu siwezi .

Hapa nimesuka Yebo yebo nipo week ya tatu ,nimezichoka hatari .. natamani kuzifumua tu
Fumua dear osha weka steaming mwambie anaekuwaka akufanyie massage kichwan hta dakika 3 ukiwa na steaming osha blow-dry then utafanya unachopenda Ila kuretouch Mara kwa Mara sio nzuri kwa nywele
 
Fumua dear osha weka steaming mwambie anaekuwaka akufanyie massage kichwan hta dakika 3 ukiwa na steaming osha blow-dry then utafanya unachopenda Ila kuretouch Mara kwa Mara sio nzuri kwa nywele
Wewe ni hair stylist eeh maana unajua
Asante sana nitazingatia hili .

Siretouch sana ikitokea zimeotea inabidi uweke tu maana haupendezi hata ...
 
Awe na tatoo shingoni sikioni atoboe matundu mengi halafu awe na bleach kichwani


Apendelee kuvaa kitop kifupi nione alivyotoboa kitomvu napenda sana


Akitoboa pussy inakuwa added advantage
Umeonaa hiii.. siku ya kwanza nimekutana nayoo kidogo nife kwa shock moyonii.. pisi imejitolesheza kupita kiasi.. hii ipo mahala
mtu chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…