Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,464
- 95,976
hahahaha!dah unanikumbusha kitu dah,Kuna mmoja yupo MAC aiseee siku ya kwanza nimemuona nikasema hata 2million nampa for one night.. hizo vitu zote anazo na ana ngozi kama mtoto πππ wanaume Mungu alitupendelea sana
Ooh AsanteSikuwahi kukata hata ncha,imani tu!
Kinachofanya nazikata sshv ni vile nimeabadirisha dawa!sio ncha nimekata sehemu kubwa tu zaidi ya ncha
Kuna mwingine mtoto ana mwezi tu anampeleka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mi wangu nilimpeleka akiwa ana miezi mitatu na yupo vizuri kabisa hata hakulia, tho kwa watoto wadogo healing kwao ni very fast ila nikuwa makini ukitoboa unalipa uwangalizi ndani ya siku tano na kuweka spiriti kuua bacteria wanaoweza kukuletea infectionUmenena rafiki ...cheap is always expensive
Asante kwa ushauri mzuri huu kabisa .
Huwa mnawatoboa hao vichanga wakiwa na miezi mingapi ?
MPL ,google hapo ,ya SA
Mi hiyo nilikuwa naweka zamani kabla nayo hayajayoka matoleo kibao
Ila olive ilinipenda
Thank you nitafuta[emoji2][emoji2]wig ni noma na joto hili,tafuta tu product za aina ya nywele zako zitakaa sawa..
Ss hii ni 2014,15-17... Can u imagineOoh Asante
Tanzania hapa tuna imani nyingi mno
Asante nimejifunza ππ½Ukiona unakaribia kuretouch usiretouch siku unayofumua kma umesuka fumua ziache hata sikumoja zitulie then retouch
Hii nywele ina afya aiseeπβ€οΈSs hii ni 2014.... Can u imagineView attachment 2180682
Aisee[emoji7][emoji119]Ss hii ni 2014.... Can u imagineView attachment 2180682
Mweh hiyo dawa .. ni dawa nzuri mno nakumbuka tulikuwa tunaipaka ya zamani ile.Mimi baada ya miezi 3,hata ikiota mapema inabidi usubiri baada ya miezi hiyo..
[emoji120][emoji120][emoji8]Hii nywele ina afya aisee[emoji7][emoji3590]
Thank you nitafuta
Yaani balaa halifai kabisa ,labda wig za bob zile .
Unaosha dear una blow-dry unasuka pia jitahid kusuka nywele ambazo haziathiri ukuaji wa nywele
Epuka pia kusuka nywele zinazovutwa Sana zinasababisha nywele kukosa nafasi ya kukua vzuri na kukatika
Ukiona unakaribia kuretouch usiretouch siku unayofumua kma umesuka fumua ziache hata sikumoja zitulie then retouch
Sawa dear Ila kwenye kusuka wengi ni kipengele nywelee hazipumziki ukitoa yebo vitunguu ukitoa mda huo huo Facebook[emoji16] ndo tunakosea sanaAsante nimejifunza [emoji1431]
Ss hii ni 2014,15-17... Can u imagineView attachment 2180682
Picha nyingi ila zinatosha kwaleoView attachment 2180685View attachment 2180686View attachment 2180691
ahahahaha! acha kabisahahahaha!dah unanikumbusha kitu dah,
Mimi zangu zinakatika sana mbele mpendwa[emoji120][emoji120][emoji8]