Selfika na JF: Snap it. Show it


Mimi nina nywele nyingi halafu nzito ila sasahivi zimekatika sababu naweka rangi sana,natumia beautiful beginning miaka yote na inanifaa sana,pia natumia cantu(leave-in conditioner sababu nywele zangu kavu,napia nafanyaga deep conditioning natumia dark n lovely conditioner...
 
kumbe gonjwa yetu moja asee.. mie awe na tatoo... na awe kachoma nywele flani.. naonga hadi moyo
Awe na tatoo shingoni sikioni atoboe matundu mengi halafu awe na bleach kichwani


Apendelee kuvaa kitop kifupi nione alivyotoboa kitomvu napenda sana


Akitoboa pussy inakuwa added advantage
 
Nina bahati mbaya Mjukuu, wakati nalima lima bustani Juzi, Miwani yangu si ikavunjika tenaπŸ™†

Hapa nimevaa ya Bibi yako tu πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
Yaani nikumiss sana babu, na nikakupigia ukawa hupatikani wewe na bibi.

Itabidi kama wajukuu tukufanyie mpango wa miwani mpya.
Waendeleaje lakini na bibi yetu huko
 
Awe na tatoo shingoni sikioni atoboe matundu mengi halafu awe na bleach kichwani


Apendelee kuvaa kitop kifupi nione alivyotoboa kitomvu napenda sana


Akitoboa pussy inakuwa added advantage
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ umepita mle mle.. tatoo moja iwe kiunoni flani hivii.. na kwenye paja hivi na ingine kwenye mguu na awe kavaa kama kikuu flani hivi na pete kwenye kidole cha mguu
 

Mafuta ya nywele je ?
Kuna wakati watu walipenda kuweka rangi ya purple sasa hivi siwaoni sana
 
Hivi inawezekana hii kitu, nina matobo mawili la kwanza nilitoboa na sindano ya kawaida nyumbani nilipona mapema. Tobo la mara ya pili ilikua mtihan nilitoboa kwa sonara niliteseka zaidi ya mwezi haliponi ila badae likakaa sawa.
Ukitoboa kwa sonara muwe mnapaka spirit kuua vijidudu kwa siku tano na litapona haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…