Ni aina gani ya maombi? Hayo maombi una ya direct wapi.. na for case kama hiyo sio issue ya maombi.. ni command.. ukishasema unaomba tayari mnaweza kuwa na mlolongo mrefu
.. maana harisi ya maombi au genesis ya maombi ( ni communion kati ya watu wawili ).. mnaaka mnaanza chapa story..