Watoto wa kishua walikuwa shida kuna jamaa alipaga connection ya kibinti cha kitaa kwao kama Familia friend na kilikuwa hakijawai kuotewa.. akanijaza upepo.. ukishajua binti Bikra.. kuna kukamia flani hivi, kuna kitu nikaja kosea.. dogo alinizingua hadi nilichanganyikiwa vibaya.. 😀😀😀😀😀.. wakawa wananicheka kishenzi sana.. siri chakula nalala tu.. nimekumbuka tukio nimechoka wao. wakija wanaflowa hip hop zao wanakula vitu vyao wanaishia kunicheka tu