Selfika na JF: Snap it. Show it

amapiano nzuri na inanoha kutazama wadada na watu wenye vitambi kama mimba.. wakiwa juu ya vimeza midaaa mibayaa kabisaa.. huwa zinabambaaa.. ila pia siku hizi ma dj wa kubahatisha sana.. Djs wachache sana siku hizi

Kwakweli ma Dj wa sikuhizi ni changamoto mtu akiwa na nyimbo na+laptop kashakua dj hata controller hawajui kutumia na unakuta hajua mziki deep...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…