Kwa kweli nimemsimulia Bibi yako hilo tukio lako, amecheka sana. Kuna wakati nayeye aliwahi kusema hivyo hivyo wakati ambapo alipotea nyumbani kwa masaa 48, napata mashaka kwa kweli😂😂🤣🤣🤣🤣 mwenyew nilikua sijui eti, dunia hii acha tu babu
Hayupo.Usijali, wewe tena[emoji7] siwezi kukusahau,,
Wifi hajambo?
Hahahaha................waulize wenzako😀😀😀 Mamba tunakura utakuwa umetuna kitoweo
Kuna mtu anataka kuleta Ng'ombe 100 kwaajili yako, kwahiyo tuko na wazee hapa tunajadiliHivi mnazungumzia kitu gani nyie watu😬😬😡
Duuuh pambana aisee ulishazoea mwenyewe ukirudi unakutana na song la jolie[emoji3]Hayupo.
Nipo naishi kibishi.
Nshazoea, kama maziwa unapata ya nini kufuga ng'ombe?Duuuh pambana aisee ulishazoea mwenyewe ukirudi unakutana na song la jolie[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],,unafuga anakuwa wako hata siku ukiwa na hamu ya nyama wamchinja tuNshazoea, kama maziwa unapata ya nini kufuga ng'ombe?
Nkamu nilikupostia muwa wangu na maendeleo yangu ya kuvaa viatu leo. Sijui ulitingwa na kikao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Song of the day
Unaweza shangaa akachinjwa na wengine.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],,unafuga anakuwa wako hata siku ukiwa na hamu ya nyama wamchinja tu
Wizo unanitania na milonjo yangu
UkomeeeKuna watu walinisagia kunguni hatimaye ukucha wangu umetokaView attachment 2178045
Swalama Shangaziiiii Shangaziiiii habarinya weekend Shangaziiiii
Ngoja niendelee kunenepesha kamguu kanguTinsleytafuta viatu vyenye kisigino hiki pia kipo comfortable kiasi sio km vile vyembamba
[emoji16]wizoo mara moja moja mguu tunaiga wenye nayoHeaven sentView attachment 2178052View attachment 2178054
Achaneni na hayo maongezi tafadhali😡Kuna mtu anataka kuleta Ng'ombe 100 kwaajili yako, kwahiyo tuko na wazee hapa tunajadili
Mmh tusubiri hiyo siku ambayo Mungu atanipa ujasiri wa kuzipost tangawizi zangu[emoji23][emoji23][emoji23] eti tangawizi
Mi nafuga tuView attachment 2178048
Weee tuliaaaKaa
Kwa kutulia
Picha ninazo ujue
[emoji3][emoji3]Mmh tusubiri hiyo siku ambayo Mungu atanipa ujasiri wa kuzipost tangawizi zangu
Hapana. Hapo nipo serious mnooItakuwa vizuri tu hivyo wewe unatupaga moyo ujue Mimi naamini vitakuwa vizuri .