Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Last born ndo tumekuwa wachapa kazi
Dunia hii


Last born ndo tumekuwa wachapa kazi


Unaingia nyasa,mbamba bay,mbinga then songeaUkitokea
Namtumbo![]()

Hakuna watu wachapakazi kama last bornLast born ndo tumekuwa wachapa kazi
Dunia hii![]()












😀😀😀 inabidi mzee uundiwe kamati, tunapata mashaka na weweNataka mje mlipe Mahali🤪
Wewe
Wasema
Wedge nazifahamu ndioYes check kisigino au wedge si unazijua?
We zitakufaa sn
thank u

BablaWige nipo kule Naomba code ya kijana tajiri! Sijampatapata kabisa

Sifugi TenaZimependeza ila zitakua tena tu
Kweli kabisa inabidi uwe makini.




Yes ,laini ni shida!Upo sahihi kabisa, nina soft nails siwezi kufuga kabisa .
kucha ndefu zahitaji mtu uwe msafi pia .
Tupo vizuri aiseeHakuna watu wachapakazi kama last born![]()

Mshaanza madogoHakuna watu wachapakazi kama last born![]()

Ndio nzuri
Nimependa miguu hasa vinyweleo

sawa wizoo ,unapenda vinyweleo?Wedge nazifahamu ndio
Sitaki zinazobana kamba tu
Nilikuwa najifanyaga miss kwa hiyo kisigino hakinitishi![]()



Ooh jamaniSifugi Tena
Zinapendeza ila ni mateso sana aisee
Usipokaa sawa zinakuchoma![]()
No,Kucha zangu ni laini SanaWe nina wasi wasi unakula kucha eeh?
Fupi za mkononi ni balaa .Yes ,laini ni shida!
Lkn hata fupi zinapendeza tu
Ooh sawaNo,Ku cha zangu no laini Sana,
sijakupata vizuri wige!Babla![]()