Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna statement inaenda hivi "watu hawajui na hawajui kama hawajui". Asee hujui unachomiss. Ndio naingia home, nimekaribishwa nikaulizwa niandaliwe chakula bedroom (anajua kuwa nimechoka akili Nahitaji utulivu)?
 
Kuna statement inaenda hivi "watu hawajui na hawajui kama hawajui". Asee hujui unachomiss. Ndio naingia home, nimekaribishwa nikaulizwa niandaliwe chakula bedroom (anajua kuwa nimechoka akili Nahitaji utulivu)?
ahaha.. ndio maana nikasema definition ya maisha yako ina mwana mke.. na unaona mwanamke mkeo ni part ya maisha yako.. upo sahihi kabisa.. But kuna definition ingine ya maisha isiyo na mwanamke mke na ina work perfect.. maisha na maana zake ni pana.. hatuwezi wote kuishi kwenye category moja
 
Make kwanza ncheke
,

Umenikumbusha na mimi mother alikua mkali sana stick nimechezea za kutosha. Kuna siku ilikua funga kazi, sikumbuki nilifanya kosa gani, ila nilichezea fimbo za kutosha. Baadae nikafungwa kamba nikaachwa nje mida ya jioni ilikua kagiza kanakaribia kuanza.

Nilikua naugulia maumivu, plus nimefungwa kamba siwezi kujikuna, nilikaa nje mpaka kwenye saa3. Muda huo nalia tu na nilikua muoga
nilifunguliwa kwasababu ilikua mida ya mzee kurudi tokea hapo nilinyooka...

Wazazi wengi wa siku hizi wanachekeana na watoto wao....
 
😀😀😀 siku hizi uki mtaitisha mtoto hivyo mke kama mkuda utamkuta ustawi wa jamiii 😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…