Selfika na JF: Snap it. Show it

Aisee mm nilikuwa na bahat na kipigo [emoji16]alafu baba alikuwa mwanajeshi,mama nae alikuwa hapendi ujinga nikiharibu

nawekwa kwenye korido mama anakaa upende wake na baba upande mwingine Yan hakuna pakutokea unachezea kipigo Hadi unaomba Foo[emoji16]

Yan usalama wako fimbo ziishe na zikiisha lazima ule mitama hata mitatu ndo ukalale [emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ safi sanaaa... ndio dozi hizo.. mie nilikuwa nafungwa kamba kwanza.. miguuni na mikononi.. vitu vinapenya hujishiki hata.. alafu hapo hakuna kupewa chakula duh! unakuwa ukiwaza kichapo.. una sita unarudi nyuma..
 
Duh mlikuwa mnafanya makosa ya aina gani ukorofi umeanza mda kumbe😬
 
Hadi mitama babeq🀣🀣🀣πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ safi sanaaa... ndio dozi hizo.. mie nilikuwa nafungwa kamba kwanza.. miguuni na mikononi.. vitu vinapenya hujishiki hata.. alafu hapo hakuna kupewa chakula duh! unakuwa ukiwaza kichapo.. una sita unarudi nyuma..
Mzee wangu alikuwa anakwambia ingia uvungu wa kitanda nusu mpka kiunoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukicheza cheza wakati unachapwa wewe unagonga chaga Tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…