Haha wengine kutembeza 'nakoz' na 'kereb' za hapa na pale huwa ni dakika sifuri tu [emoji16][emoji16]Anne, wewe kama mimi nina mkono mwepesi kubonda mtu. Ualimu haunifai kabisa nitapata tu kesi
Mkuu niliona tangazo hapo wanatafuta mwalimu wa physics vipi alishapatikana?Shule ya sekondari Makumbusho boss, karibu sana.
πππ Basi njiwa manga.. au tuchinje ngamiaJamanii mwe mwe hadi popo yaani mwili mzima una coronaπ¬ππΎ
π¬π¬π¬π¬π¬
Pole sana inshaalah utakuwa sawaNimeshtuka mda huu ndio nimepata kumbukumbu.. kuna kitu nilikuwa naona hakiko normal... jioni utasikia Osman mwanangu njooo... unaanza kula wisdom za kizee na hadithi safiii.. ππππ
π·ββοΈπ·ββοΈπ·ββοΈ π·ββοΈπ·ββοΈPole sana inshaalah utakuwa sawa
Weeee[emoji12][emoji12][emoji12] pote napo kulaga nimegundua wamefunga imebidi na mie niunge mkono hoja.... ndio nakuja gundua hakuna wapishi wazuri kama mabinti wa kiislam..
sisemi uongo.. fanya tafiti utapata majibu tu πππ.. wapishi wazuri sana.. hata ukarimu wapo vizuri sanaWeeee
Hivi hadi wewe ni mkali?Haha wengine kutembeza 'nakoz' na 'kereb' za hapa na pale huwa ni dakika sifuri tu [emoji16][emoji16]
haujaonja Cha mke wangusisemi uongo.. fanya tafiti utapata majibu tu [emoji3][emoji3][emoji3].. wapishi wazuri sana.. hata ukarimu wapo vizuri sana
View attachment 2175515
Au basi ngoja ni Google
Mpendwa uko kundi lipi au Zumaridi groupπ
ππππ Hongera mkuu.. mkeo inaonekana anakutunza na kukujali sana..Hakuna mpishi mzuri kama mke wangu
Watoto wa Abiud hatujafunga πView attachment 2175596
Anajitahidi kwa kweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hongera mkuu.. mkeo inaonekana anakutunza na kukujali sana..
Safi sana.. enjoy mkuuAnajitahidi kwa kweli
Hatarious... mtu mwenye roho yake nyeupeee... malaika Lizzy