Selfika na JF: Snap it. Show it

Wazazi wa zaman wametusaidia sana watoto wengi kuwa hivi tulivyo leo, kipindi hiki hata malezi ni mabovu na watoto wanakua hivyo hivyo na tabia mbovu. Mimi nimeish na baba na mama hawa wazee walikua wakali hawana muda wa kubembeleza ukizingua ni stiki kwa kwenda mbele. Watoto wa siku hizi wakizingua wanabembelezwa badala ya kukemewa ndio mana hiki kizazi kina watoto wengi wa hovyo.
 
watoto hawajai hata kukaa njaa 24 na kipigo pamona na kamba unafikiti wanatoa wapi uoga.. ukikumbuka kisago unarudi kwenye mstari mwenyewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. nimekuja kutoka kwenye utata wa wazazi nilipo maliza chuo.. ndio nikahema sasa..
 

Haaha! Wewe mwanafunzi wewe…

Masomo mepesi tu Chemistry na Biology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…