Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787] Nimeshatoka kitambo babuu vipi nije kukupa kampani tusogeze masaahapo naona upo idle[emoji849][emoji12]!
Utakuwa umefanya vizuri Mjukuu, manake sisi Wazee hatupaswi kuachwa wapweke muda mrefu 🤪🤪🙈

Kwahiyo nikuagizie nini in advance? Au ukifika nitaku connect na watu wajikoni uagize mwenyewe 🤪

Vinywaji utatumia hizi ngumu za Babu au zako ni soft 🍷
 
Utakuwa umefanya vizuri Mjukuu, manake sisi Wazee hatupaswi kuachwa wapweke muda mrefu [emoji2957][emoji2957][emoji85]

Kwahiyo nikuagizie nini in advance? Au ukifika nitaku connect na watu wajikoni uagize mwenyewe [emoji2957]

Vinywaji utatumia hizi ngumu za Babu au zako ni soft [emoji485]
Hahahaaa.. usiwaze nitaagiza nikifika ngoja nijiandae fasta unipe location!
 
Mkisikia kuna mashindano ya kula ugali mnitonye. Sinaga mpinzani! [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
017385994.jpg
 
Back
Top Bottom