Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 3, 2022 #174,501 Tinsley said: Blender sio heavy duty hili , nilisaga siku moja majani ya mlonge ikanigomea . Nikatwanga tu kwenye kinu Click to expand... Si Umwambie mshua Asababishe jipya
Tinsley said: Blender sio heavy duty hili , nilisaga siku moja majani ya mlonge ikanigomea . Nikatwanga tu kwenye kinu Click to expand... Si Umwambie mshua Asababishe jipya
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Apr 3, 2022 #174,502 Tinsley said: Mtihani haswa sema huwa namuandaa kabisa Kila mtu ana kazi anazopenda aisee. Click to expand... hapo sawa Naona Asec kapigwa, berkane anaongoza kundi, hili kundi ni gumuuui
Tinsley said: Mtihani haswa sema huwa namuandaa kabisa Kila mtu ana kazi anazopenda aisee. Click to expand... hapo sawa Naona Asec kapigwa, berkane anaongoza kundi, hili kundi ni gumuuui
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 3, 2022 #174,503 Depal said: Hizo hizo blender za juice Me nablend mpaka nazi Click to expand... Yako hiyo original shosti . Hizi za mchina zinagoma ukilazimisha . Tunakuna tu kwenye kibao cha mbuzi
Depal said: Hizo hizo blender za juice Me nablend mpaka nazi Click to expand... Yako hiyo original shosti . Hizi za mchina zinagoma ukilazimisha . Tunakuna tu kwenye kibao cha mbuzi
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 3, 2022 #174,504 Tinsley said: Blender zetu hizi za mchina zinakufa kweli .. Tuwachie wenye heavy duty . Click to expand... Kwa kweli. Tuwaachie wenye blenda za uhakika Hizi zetu za kudunduliza tusagie maembe tu
Tinsley said: Blender zetu hizi za mchina zinakufa kweli .. Tuwachie wenye heavy duty . Click to expand... Kwa kweli. Tuwaachie wenye blenda za uhakika Hizi zetu za kudunduliza tusagie maembe tu
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Apr 3, 2022 #174,505 Saint Anne said: Bora tu awe mtata maana lazima kiue blenda Click to expand... Nkamu mbona mimi nablend tu, kwanini ife?
Saint Anne said: Bora tu awe mtata maana lazima kiue blenda Click to expand... Nkamu mbona mimi nablend tu, kwanini ife?
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 3, 2022 #174,506 Wigelekelo said: Si Umwambie mshua Asababishe jipya Click to expand... Hili hili kwanza mpaka liharibike Atauliza lile limepatwa na nini kwanza
Wigelekelo said: Si Umwambie mshua Asababishe jipya Click to expand... Hili hili kwanza mpaka liharibike Atauliza lile limepatwa na nini kwanza
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 3, 2022 #174,507 Simara said: Nkamu mbona mimi nablend tu, kwanini ife? Click to expand... Nkamu wewe wa kishua una blenda ya kishua
Simara said: Nkamu mbona mimi nablend tu, kwanini ife? Click to expand... Nkamu wewe wa kishua una blenda ya kishua
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 3, 2022 #174,508 Simara said: hapo sawa Naona Asec kapigwa, berkane anaongoza kundi, hili kundi ni gumuuui Click to expand... Eeh Makubwa Kundi gumu hili anoangoza kwa point ngapi
Simara said: hapo sawa Naona Asec kapigwa, berkane anaongoza kundi, hili kundi ni gumuuui Click to expand... Eeh Makubwa Kundi gumu hili anoangoza kwa point ngapi
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 3, 2022 #174,509 KENZY said: Basi tufanye jini kilamba mwiko Click to expand... Hapana. Wine inatosha
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 3, 2022 #174,510 Depal said: Kinauaje Click to expand... Itazima hapo hapo
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 3, 2022 #174,511 KENZY said: Ndo tukuite jini nani Sasa..? Click to expand... Jini Nkamu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 3, 2022 #174,512 Wigelekelo said: Huyu ni Pep Click to expand... Ndiyo mkuu msaga kunguni Naupiga mwingi kwenye id ya pisi.
Wigelekelo said: Huyu ni Pep Click to expand... Ndiyo mkuu msaga kunguni Naupiga mwingi kwenye id ya pisi.
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 3, 2022 #174,513 Stroke said: Hapo anafuaje ama ana washing mashine?? Click to expand... Ngoja aje
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 3, 2022 #174,514 Saint Anne said: Mimi mboga nyingi za majani natia karanga Zinanoga Click to expand... Ooh inafanya chakula kinakuwa kitamu ..
Saint Anne said: Mimi mboga nyingi za majani natia karanga Zinanoga Click to expand... Ooh inafanya chakula kinakuwa kitamu ..
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Apr 3, 2022 #174,515 Saint Anne said: Nkamu wewe wa kishua una blenda ya kishua Click to expand... Nkamu hapana sina wa ukishua wowote natumia blender ya kawaida tu mama.
Saint Anne said: Nkamu wewe wa kishua una blenda ya kishua Click to expand... Nkamu hapana sina wa ukishua wowote natumia blender ya kawaida tu mama.
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 3, 2022 #174,516 Simara said: kabisaa na hivi wao wa mchangani Click to expand... Sakho Anakosa hapa
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Apr 3, 2022 #174,517 Tinsley said: Eeh Makubwa Kundi gumu hili anoangoza kwa point ngapi Click to expand... Ana point 10 halafu anafuatiwa Asec ana 9 nimekata tamaa
Tinsley said: Eeh Makubwa Kundi gumu hili anoangoza kwa point ngapi Click to expand... Ana point 10 halafu anafuatiwa Asec ana 9 nimekata tamaa
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Apr 3, 2022 #174,518 Kasie said: Aabeeehh... Click to expand... Tukuone kidogo Wakati Simba Wakiwa mapumziko
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 3, 2022 #174,519 Simara said: Ana point 10 halafu anafuatiwa Asec ana 9 nimekata tamaa Click to expand... Dah mpira huu Wachezaji wamefanya kazi nzuri ila
Simara said: Ana point 10 halafu anafuatiwa Asec ana 9 nimekata tamaa Click to expand... Dah mpira huu Wachezaji wamefanya kazi nzuri ila
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Apr 3, 2022 #174,520 Satoh Hirosh said: Salama Kaka,Nipo taifa ila presha umepanda sn.Simba wwnatunyima ushindi wa mapema,nafasi kibao wanachezea Click to expand... Poleni sana.. chief.. ndio football
Satoh Hirosh said: Salama Kaka,Nipo taifa ila presha umepanda sn.Simba wwnatunyima ushindi wa mapema,nafasi kibao wanachezea Click to expand... Poleni sana.. chief.. ndio football