Ujumbe wao wameupata 😅Bora nichelewe kupata wajukuu lakini hao vijana wanaokimbia majukumu siwataki nyumbani, ombi langu la kumiliki mguu wa Kuku limefika kamati ya usalama ya Wilaya, wape habari zao 🤪🤪🤪
Wadada warembo ila wanashabikia makolo na vitu vya ajabuMpo wengi sana naona, hivi nani kawafundisha kushabikia vitu vya ajabu!!
Mambo ya aibu nafanya. Ila mwaka huu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we hatari
SikatiKata kucha.
Genuine kisamvuCha mpira?
Ndio kipi?
😄😄😄 mala mbili.. kawa mzoefu tayari mjukuu mpenziMy lovely grand daughter Depal
Huyu Mjukuu ananijali sana, ameshaniletea miwani mara mbili Kila ilipovunjika🙊
Sina urafiki nao tena!Wadada warembo ila wanashabikia makolo na vitu vya ajabu
Mjukuu wa mchongo, babu wa mchongoNdio
Nashangaa hapa
Kwangu mimi cha mhogo si kizuri bora kile cha mpira .
Tena nimezembea kupanda kisamvu ..mpaka vimti vimekauka [emoji3064]
Nkamu nikikusimulia mikasa yangu na viatu utacheka afu utashia kunihurumia tu.
😄😄😄 mkuu salamaaaaa lakiniJeshiiiiiiiii
MsabatoAmen
Yaani unakuwa kauzu tu , Mimi huwa sitaki hata kusikiliza la mtu [emoji23].
Sijui kukieleza vyemaCha mpira?
Ndio kipi?
Miwani mara mbili kila ilipovunjikaMy lovely grand daughter Depal
Huyu Mjukuu ananijali sana, ameshaniletea miwani mara mbili Kila ilipovunjika[emoji87]
Ntaanza na soksi huku mdogo mdogo naji-tune na viatu. December nitaleta ushuhudabasi pambana na socks nkamu
Utopolo wana gubuMmeanza uchawi[emoji3]
Kesho nakuja kukagua.Sikati
Kaa kwa kutuliaHamshindi
Sikipendi pia hicho cha mhogoCha mhogo kwanza ni kigumuu hakina taste mtu unakula kwa shida sio kizuri kwa kweli