Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Umeshakuwa wa mjini mdogo angu[emoji1787][emoji1787]Imebaki moja[emoji23][emoji23][emoji23]
Si nilienda bank bana
Machine zao mbovu wakasingizia kucha zangu ...oh dada tips blah kibao wale..nikakata ukucha na mambo yakawa vile vile.
Kwa kweli, ndiyo maana hadi Uzee huu bado tunaoneana wivu๐คชNa unamhudumia vema hadi raha, ndio maana bado anaonekana analipa๐
Kitamu balaaMboga tamu sana ukute kimelala sasa
Mtashinda na kulala njaa leo!Ahh itauma roho jamani
Mungu ni mwema ila
Halafu ukianagalia tabia ya Group D mechi za nyumbani ndo wanashinda , Hakika ushindi ni wetu leo .
[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2174400
๐๐๐๐๐๐ mjukuuu mpenziNgoja nimwite Mjukuu wangu mpenzi Depal aje athibitishe
American underdogSijaiona jamani, naomba niitafute nami nimtumie mtoto wa mama mkwe niboreshe mahabat
Uzi wenyeweWalioweka picha leo wote nawaroga!..[emoji16]
Ooh!!sawaNdiyo sikua mimi Elly
Ahh itauma roho jamani
Mungu ni mwema ila
Halafu ukianagalia tabia ya Group D mechi za nyumbani ndo wanashinda , Hakika ushindi ni wetu leo .
Kha usiseme hivyo rafikiMtashinda na kulala njaa leo!
Mlozi Kaka yangu..๐Uzi wenyewe
Wa mlozi[emoji1787]
Unaanzia wapi[emoji848]
Acha ukorofi usije shusha kibusha
Cha mia mbili
Umeshashindikana weweKisamvu[emoji56]View attachment 2174681View attachment 2174682
Wa mjini wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeshakuwa wa mjini mdogo angu[emoji1787][emoji1787]
Mnachezea, hilo halina maswali. Mnawakilishana, sio kuwakilisha nchi[emoji23][emoji23]Kha usiseme hivyo rafiki
Tuombeni mema sie wakilishi wa nchi .
Kitamu balaa
Leo nimekila cha nazi aisee nimedata nimesema siweki karanga tena kwenye kisamvu .
AmenNa kampani niliyonayo ni watu wa Yanga nitakoma[emoji3]
Kabisa Mechi za Nyumbani ndiyo wanashinda.
Naamini ushindi wetu leo