Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,850
- 37,559
Helowww
Miss u all
Miss u all
Umeanza SASA kutest mitambo 😂😂 utasikia mpaka mluzi underground 😆😆#CasablancaView attachment 2173549
Lenie SASA...njaa husikiii kabsaaHapo hata njaa husikiii, hadi mida ya mchana.
Aah raha sana
Binti Abiudi. Tuone vazi la leo kanisani ikiwezekanaHelowww
Miss u all

Hellow!

Babu nakusalimiaView attachment 2174370
Hello Sunday 🥂
Asante Mjukuu mzuri, nimeona niwawekee picha yangu ya enzi za Ujana, miaka ya 70's hiyo 🙊🙊Babu nakusalimia
Natumai umekumbuka kuniombea Babu yako, Leo nilikosa mtu wa kunivusha Barabara kwenda church 🙈Church session was!View attachment 2174429
African woman!Asante Boss Lady. Kielelezo halisi cha Bantu figure![]()


Kwema Mkuu?Hellow!![]()
Ulitokelezea sana babuAsante Mjukuu mzuri, nimeona niwawekee picha yangu ya enzi za Ujana, miaka ya 70's hiyo 🙊🙊
Awapi sio babu wala nene... Wigelekelo anasemaga unafaa kabisa kwa matumizi ya binadamu!Church session was!View attachment 2174429




!
Kwema sana... I hope jumapili yako imeenda poa unaejiita babu!Kwema Mkuu?

Kumbe eeh, basi Bibi yako yuko vizuri kunichagulia. Hapo ilikuwa tunamwaliko kuhudhuria harusi ya mtoto wa Chief akiolewa na yule Gavana wa kiingireza Richard Turnbull 🙊🙊🏃🏃Ulitokelezea sana babu
Hahahaha.....Sasa miaka 73 sio Babu jamani🤪🤪Kwema sana... I hope jumapili yako imeenda poa unaejiita babu!![]()