Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Liimeeee inuuuuu limeiinuu liwa neno lakooo
Ooooooooo kama vile janaa nina nguvu leoo na mileee
#Sundayvibes#View attachment 2173620
Linazidi nguvu kuta za Yeriko
Linaamuru maji kutoka mawe jangwani
Neno lako limeinuliwa
Limebeba neema ya waliosahaulika
Linajibu maombi yaliyopita kutarajiwa
Neno lako umesema..........
 
Na mashuka meupe yanaletaga raha fulani hivi amaizing kama yanabembeleza mwili😂
Kukukumbuka wewe kwa maombi muhimu
alafu kitanda kinakuwa laini ukijigeuza kinakubembeleza na springs kwa mbali kama ushakaa kwenye lexus zenye opt ya massage.. unaweza usitoke kitandani 😄😄😄😀.. na usingizi usikuishe
 
Back
Top Bottom