Mungu wangu sumu zote zimeshapita kwenye koo langu na kutua kwenye mabandama, finyango na maini bila kusahau figo
Huruma Zaidi ni koo na kifanyio kwakuwa hizo ndio inlet na exit sumu zilipita
Salaam wana Jf...natumaini mu wazima wa afya tele na poleni kwa kuweza kutupa shauri ambazo kwa namna moja ama ingine zimeweza kudumisha mahusiano ya watu humu ndani... Husika na kichwa cha habari hapo juu... Mimi ni kijana na umri wa miaka 24 na baada ya kumaliza bachelor yangu kuna kozi...
Ndiyo. Mwanamke halisi wa Kiafrika ndivyo anapaswa kuwa hivyo. Hii dhana ya urembo wa Kimagharibi eti mwanamke lazima awe mifupa mitupu mi kwa kweli inanikwaza sana. Please I am pleading with you; usijikondeshe