Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Nilikuwepo pembeni ya KinanaSaint Anne sijakuona Leo dodoma kwenye kikao chetu
Nilikuwepo pembeni ya KinanaSaint Anne sijakuona Leo dodoma kwenye kikao chetu
Unaniconfuse Bina
Ilikuwaje Tena jamani??
Umbea unaenda mbio Hadi kichwa kinapata moto







u don me andastandi?tupia basi
😴😴😴 ulale unono mama la mamaMmelala ngoja nitupie za Nuzu
Safi sana comrade
Tuko pamoja, umeijua hiyo ni machine gani ?Safi sana comrade
hii machine sijaitambua.. ipo kwenye plant ya nini?Tuko pamoja, umeijua hiyo ni machine gani ?
Hiyo ni Double Stage Oil Filtration Machine, ina filtrate 12000ltr/h. Habari yake nzito, kwenye Substation inatumika sana.hii machine sijaitambua.. ipo kwenye plant ya nini?
Hiyo ni Movable.hii machine sijaitambua.. ipo kwenye plant ya nini?
Ndio nimeiona si mchezo.. nimeicheki hapa.. mambo yakikaa sawa nina project moja ya substation.. nitaenda pata kitu kipyaHiyo ni Double Stage Oil Filtration Machine, ina filtrate 12000ltr/h. Habari yake nzito, kwenye Substation inatumika sana.
nimeziona hapa hata mchina anatoa nyingi movableHiyo ni Movable.
Swadakta.nimeziona hapa hata mchina anatoa nyingi movable
naona mtaalamu juu, anaweka sawa.. umesikia Tanesco wanaanza ku outsource kwenye upande wa service and maintenance kwenye upande wa line.. sasa hivi wana weka point za line vizuri kabla hawajaanza wapa wakandarasi
Sijasikia, ila kama iko hivyo ni jambo jema ngoja tuone.naona mtaalamu juu, anaweka sawa.. umesikia Tanesco wanaanza ku outsource kwenye upande wa service and maintenance kwenye upande wa line.. sasa hivi wana weka point za line vizuri kabla hawajaanza wapa wakandarasi
wasingeweza line zote zile kuzi maintain lazima zingewatoa out.. na haya ma line ya lea.. ni vyema wameona wazi outsource bila ivyo zingewapa sana shidaSijasikia, ila kama iko hivyo ni jambo jema ngoja tuone.
Mzigo umekuwa mkubwa sana, na TANESCO pia wavivu mafaza sana.wasingeweza line zote zile kuzi maintain lazima zingewatoa out.. na haya ma line ya lea.. ni vyema wameona wazi outsource bila ivyo zingewapa sana shida
Na kweli Tanesco wanapenda mno ufaza.. wao wakizingua sawa.. zingua mkandarasi watakukazia kishenzi..Mzigo umekuwa mkubwa sana, na TANESCO pia wavivu mafaza sana.
Hii ni neema kwa sisi Wakandatasi waganga njaa.