Sir Carter
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 631
- 1,418
[emoji91][emoji91][emoji91] naona GJ na Mafuta wanakupa hela [emoji838]...
[emoji91][emoji91][emoji91] naona GJ na Mafuta wanakupa hela [emoji838]...
Naona
Warabu hata siku moja sio maskini.. cheza na mwarabu brooo hutojutia[emoji91][emoji91][emoji91] naona GJ na Mafuta wanakupa hela [emoji838]...
Sawa Kaka ngoja nianze kuifuatilia hyo.Warabu hata siku moja sio maskini.. cheza na mwarabu brooo hutojutia
Hizi zimetoka Tanzania na Vietnam. Hazina jipya [emoji16][emoji16]haaaa[emoji3][emoji3] unazingua
fanya ututumie korosho hizo tubadili taste
Heshima yako mkuuHizi zimetoka Tanzania na Vietnam. Hazina jipya [emoji16][emoji16]
J2 dear,niletee futari bina![emoji39][emoji39][emoji39]mnaanza kufunga lini?
Muambie atulie yeye usajili wake wa kudumuu!!awaachie wale wa mkopo Mara 1[emoji16][emoji16][emoji16] Mama P leo kawa mnoko.. kakaba hadi kivuli.. ana ukuda sana
Amyin Shem wangu mwaka huu kuna kwaresma na ramadhani tushindwe wenyewe tu walimwenguUwe mwezi mwema na uliojaa mibaraka kwako shem na hao wanangu. Tutaonana siku moja [emoji1545][emoji1545]
😁😁😁 hakuna kitu cha kudumu.. hata maisha yenyewe yana ukomoMuambie atulie yeye usajili wake wa kudumuu!!awaachie wale wa mkopo Mara 1
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cha kisposii!!cha kisponsa hichoo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Vibaya hivyo shem. Hiyo ni afya + pesa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mambo ya Lizzy.. mtaalamu sana atakupa ufanunuzi ni kama graph za Trig 😁😁
Nakutakia mfungo mwema dear ..Uandame tu j2 kesho sijajiandaa[emoji14][emoji14][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ni nzuri sana, mmeniambukiza kuzipenda, saivi hata nikiwa Ofisini utanikuta nazo kwenye meza yangu nakula😋😋😋Umenikumbusha nyumbani mkienda shambani mnapewa ndoo moja ndogo kwa ajili ya kula
Yan hapo yanaisha maji [emoji16]tu Hadi mkirudi hamu ya kula hamna
Ni nzuri zaidi ya Karanga, Kijana wangu bora asile chakula lakini umpe hizo Korosho 🙌Tuko pamoja mkuu. Mi nimeongezea na tende kidogo. Mwezi Mtukufu huu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2171606