Sure MkuuSafi sana comrade utajiri upo huko wa cha chap.. wala hatuhitaji kutoa ndagu![]()
Looh!mbona wanifanyia roho mbaya namna hyoooNampa address na namba ya simu juu
Abee!!!jamani mi nataka korosho!!!Mama P vipi lakiniTupia basi reymage






KitambiiiiBaada ya dona samakiView attachment 2171572







jamani mwezi mtukufu tena acha mbwembwe baasijamani mwezi mtukufu tena acha mbwembwe baasi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha nyumbani mkienda shambani mnapewa ndoo moja ndogo kwa ajili ya kulaView attachment 2171411
Daktari wangu bado hajanipa kipimo halisi cha ulaji wa hizi Korosho. Nisije ji overdose tu
Good morning!
tu Hadi mkirudi hamu ya kula hamna😁😁😁 Mama P leo kawa mnoko.. kakaba hadi kivuli.. ana ukuda sanaAbee!!!jamani mi nataka korosho!!!Mama P vipi lakini
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mwanamke usafi eeh 😎😎mikono misafiiiiii
Uwe mwezi mwema na uliojaa mibaraka kwako shem na hao wanangu. Tutaonana siku mojajamani mwezi mtukufu tena acha mbwembwe baasi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app


Vibaya hivyo shem. Hiyo ni afya + pesa



Haiifikii ya kwako hata robo![]()

unazingua Mwanamke usafi eeh![]()