bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,406
- 3,103
Acha kabisa....vumbi kidogo umepuliza ๐Sana aisee.
Yani...kama nitembee nayo kwenye box tu ๐๐๐
Acha kabisa....vumbi kidogo umepuliza ๐Sana aisee.
Yani...kama nitembee nayo kwenye box tu ๐๐๐
shangazi nausingizi basi fanya kaupendeleo hata chobingo![]()



๐๐๐๐๐ dah! ndio maana kwenye computer napenda zaidi ThinkPad sijiulizagi mala mbili mbili.. nabutua tu.. ila mac zinatia hurumaAcha kabisa....vumbi kidogo umepuliza ๐
๐๐๐๐๐.. hawezi bwana.. ananiamini kabisa siwezi cheza rough.. kila kitu napata na anaitunza asubuhi dua mchana dua jioni dua anajua siwezi.. fanya mambo basiWee unataka inspiration wako anitoe macho![]()
๐๐๐ babuu mzee.. uzuri tunaona hekima zako na life style lako.. lazima uishi maisha marefu..Nakuzidi miaka 42 duh!![]()
.. hawezi bwana.. ananiamini kabisa siwezi cheza rough.. kila kitu napata na anaitunza asubuhi dua mchana dua jioni dua anajua siwezi.. fanya mambo basi
Wasalimie sana wahuko mkuu!Nashangaa our Pride kwa mbaali kabla sijarudi kwa Makala
Wepesi gani tena Shengazi shangazi ๐๐๐๐.. nipo eneo hawaruhusu picha.. shangazi.. au nikipiga nitatambulika iwe msala kibarua kiote majani.. nianze kula majaniHebu mjomba leo tufanyie wepesi,maana wewe kazi kupiga debe tu...
Kama kahawa imekwama mtume la azizi inspiration wako akukaangie hizi akuletee chap. Usingizi wote kwishnei!nakunywa kahawa kikombe cha nne.. ndio usingizi unazidi sijui nalogwaa
Kweli mkuu zina uvumilivu sana.....kuna jamaa yangu ana apple roho juu akiwasha anafukuza hadi watoto wasikae karibu ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ dah! ndio maana kwenye computer napenda zaidi ThinkPad sijiulizagi mala mbili mbili.. nabutua tu.. ila mac zinatia huruma
sabuni ya roho๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐ naweza anza kula chakula A kabla chakula B na ndio usigizi utazidi kabisaaKama kahawa imekwama mtume la azizi inspiration wako akukaangie hizi akuletee chap. Usingizi wote kwishnei!View attachment 2170495
Happy birthday to you Fortnox๐ Uwe na heri nyingi Mpendwa na kibarikiwe kila utakachokigusa.Love from mamahappy birthday to me View attachment 2169995
Mungu wangu!!!๐ฏ๐ฏ๐๐๐๐๐๐๐๐ tutakula mtaji na kuuza asset
Unamu-adjastia beseni hilo mpaka rehema (picha) za shangazi zije ๐Kama kahawa imekwama mtume la azizi inspiration wako akukaangie hizi akuletee chap. Usingizi wote kwishnei!View attachment 2170495
Apple nahisi kama una makazi ya graphics ni nzuri ila kuna makazi yetu ya ajabu ajabu lazima ikukwazeKweli mkuu zina uvumilivu sana.....kuna jamaa yangu ana apple roho juu akiwasha anafukuza hadi watoto wasikae karibu ๐๐๐๐
Wepesi gani tena Shengazi shangazi.. nipo eneo hawaruhusu picha.. shangazi.. au nikipiga nitatambulika iwe msala kibarua kiote majani.. nianze kula majani



mwehu kabisa wewe..You know the drill ๐คฃ๐คฃAcha kabisa....vumbi kidogo umepuliza ๐
tunaenda na kukopa nao mkopo tunakula.. eeh ๐๐๐Mungu wangu!!!๐ฏ๐ฏ๐๐๐๐
Umependeza sana hustadhat!!โ๏ธโ๏ธ๐View attachment 2170497
Msafiri kafiri huu msamiati una maana gani?๐ฌ