Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,223
Huku daily kuona Mt. Meru
Hata halivutii sana 😅
Mpaka siku pawe angavu ndio nauona mzuri.
Huku daily kuona Mt. Meru
Pole sana 😁😁Zinavutia sana,ila ubaya mimi sio mpenzi wa ndizi kabisa,nimezaliwa kwa wazaramo![]()
Njema kabisa shangazi shangazi 😀😀.. tupia basi shangazi.. mijomba nafsi zetu zifurahiNiambie mjomba,uko poa?
😀😀😀 dereva ni mie mwenyewe malaika Lizzy.. usijali kuhusu beiMwambie dereva anipigie...ila bei za Uber 😉
Mchagga mie ni 🤑 ndo imenifurahisha 😁😁🙈
tubadirishane basi nikupe yangu unipe yako 😎😎My new BABY 🤗🤗🤗🤗View attachment 2170371
mwisho wa mwezi 😀😀
Mafao ya babu G hayo, naenda kumtunziamwisho wa mwezi 😀😀
Inabidi tuweke Tochi kwa juu zile za Benja Stadium 😅Huku daily kuona Mt. Meru
Hata halivutii sana 😅
Mpaka siku pawe angavu ndio nauona mzuri.
😁😁😁😁😁tubadirishane basi nikupe yangu unipe yako 😎😎
Nashangaa our Pride kwa mbaali kabla sijarudi kwa MakalaPride of Tanzania.......!!✌️✌️
Nilikua nimeagiza ugali dagaa hapa baada ya kuona hii picha nimecancel order.
My new BABY 🤗🤗🤗🤗View attachment 2170371
M1 Macbook?My new BABY 🤗🤗🤗🤗View attachment 2170371
Njema kabisa shangazi shangazi 😀😀.. tupia basi shangazi.. mijomba nafsi zetu zifurahi
yangu nimeichukua tu kama wiki tatu zimepita 😀😀 kwaiyo nita jitop up mwenyewe kwa kuwa bajaji wako 😀😀😁😁😁😁😁
Una-top up sh. ngapi? 🤑🤑🤑
na nina sikia usingizi kweli hapa 😀😀Kama nakuona ukisubiria Mkuu...ukitoka tuu katumaa ukirudi holaaa
😀😀 tukimaliza tutafuta mtaji mwingineAngalia tu tusije tukamaliza mtaji 😄😄😄