Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Sana aisee.Kuna smell tamu Sana ukifungua brand new bana unatamani utumie ikiwa ndani ya boksi π π
Yani...kama nitembee nayo kwenye box tu πππ
Sana aisee.Kuna smell tamu Sana ukifungua brand new bana unatamani utumie ikiwa ndani ya boksi π π
Yupp!!!ππM1 Macbook?
Hangamaga! - Ishi maisha marefu kwa kadri inavyowezekana!Love from mamahappy birthday to me View attachment 2169995


Niiiiiice!!!yangu nimeichukua tu kama wiki tatu zimepita ππ kwaiyo nita jitop up mwenyewe kwa kuwa bajaji wako ππ
Man! Umetisha sana πYupp!!!ππView attachment 2170453
I hate everything Apple....except their watch






π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ tukimaliza tutafuta mtaji mwingine
ππππ.. tutaila pesa eehπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
I like the sound of that ila we haufai kuwa incharge wa acc ya Tea Joint yetu hata kidogo π€¨π€¨
Njema kabisa shangazi shangazi.. tupia basi shangazi.. mijomba nafsi zetu zifurahi

Used to aswell....ila baada ya kutumia tumia computer zao nikavutwa kidogo maana advantages ni nyingi, haswa upande wa kazi. Ila product zao nyingine sina mpango nazo kabisa so I get you!!!I hate everything Apple....except their watch![]()
Kwenye kazi hakuna kuchoka ππ.. mie nakupeleka popote malaika..Niiiiiice!!!
Mbona ntakuchosha kwa hizo safari ππ
shangazi nausingizi basi fanya kaupendeleo hata chobingo ππMida yetu ni ile ile, usibadilishe chaneli![]()
Naona kabisa dalili za kufunga biashara kabla hata wateja hawajapazoea vizuri ππππππ.. tutaila pesa eeh
Weka maji kwa beseni msuli subiri picha inaitwa huo πna nina sikia usingizi kweli hapa ππ
Thanks yoh!πMan! Umetisha sana π
closed system yao inazingua kama ukiwa na mambo yanayo hitaji freedom.. lazima ujikute unaborekaI hate everything Apple....except their watch![]()
ππππ nakunywa kahawa kikombe cha nne.. ndio usingizi unazidi sijui nalogwaaWeka maji kwa beseni msuli subiri picha inaitwa huo π
ππππ tutakula mtaji na kuuza assetNaona kabisa dalili za kufunga biashara kabla hata wateja hawajapazoea vizuri ππ