Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20220331_161248.jpg
 
babuu mzee.. uzuri tunaona hekima zako na life style lako.. lazima uishi maisha marefu..
Siri ya kuishi maisha marefu, mbali na mibaraka na huruma za Mungu, ni kuwa na furaha. Unakuwaje na furaha?

- Ishi maisha yako halisi na kamwe usijaribu kujilinganisha na mwingine kwa sababu kila mtu amebarikiwa kivyake. Daima kutakuwa na watu wanaokuzidi na unaowazidi.

- Shukuru kwa ulichonacho hata kama ni kidogo namna gani...na ishi katika matumaini.

- Stay connected to the source - Mungu or whatever you believe in. Hapo ndipo nguvu zako zilipo. Ukijitenga na nguvu hizo umekwisha.

- Usiwe na roho ya kichawi. Furahia mafanikio ya wengine. Ukiona vijana wadogo tu wanasukuma ma Jaguar na ma RR na wewe huna, usikabwe na wivu bali furahia mafanikio yao. Katika furaha hiyo ndimo kuna furaha yako pia.

- Usipende kuumiza watu wengine (kimwili na kisaikolojia) bila sababu lakini pia usikubali kuumizwa bila sababu.

- Saidia wengine - hata kama ni kwa maneno tu ya kutia moyo au kujitolea nguvu na muda wako. Hakuna kitu kinacholeta furaha ya kweli kama kuweka tabasamu na tumaini katika moyo uliopondeka na uso uliojaa huzuni. Nenda mahospitalini huko. Ongea na wagonjwa usiowajua. Wape matumaini. Kwenye ma-orphanages huko...na magerezani...

- Be simple and humble...na jaribu sana kuwa msuluhishi na siyo mtenganishaji. Jitahidi uwe ndiyo nta inayoileta pamoja familia yenu na siyo kuisambaratisha...

- Linda afya yako. Daima kinga ni bora kuliko tiba. Magonjwa yanayozuilika kwa kubadili mfumo wako wa maisha, hakikisha hayakupati

- Take care your family. Love them dearly because when it is all said and done; and you are laying down on your deathbed - ready to take your final breath, it is your family that will be there....

#BusarazaWahenga
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Mungu mwema kila wakati.. kuna mambo tunajifunza hapo kupitia reflection yako
 
Back
Top Bottom