sio X6 tu, unamalizia kwa kusema M Competition 😀😀😀 Lovelucky anazielewa.. kuna siku nilikutana na ka binti kadogo tu huku kitaa kana hiyo chuma.. nikabaki nacheka tuu.. na mie nilikuwa na myama wangu ila nikaweka salute tu aisee 😀😀😀
Lovelucky anazielewa.. kuna siku nilikutana na ka binti kadogo tu huku kitaa kana hiyo chuma.. nikabaki nacheka tuu.. na mie nilikuwa na myama wangu ila nikaweka salute tu aisee
Fortnox Bro.. leo nimepata hasira sana.. kuna sehemu niliingia nimekaa nakula zangu cigar yangu... kidogo akaja dogo mmoja.. katulia pale mnene kama mie Hi tu, kila mtu biashara yake.. kutoka dogo ana chuma hiyo dah! Nikarudi ndani kwanza kufanya hesabu zangu vizuri na kujiuliza nafanya mie kijana wa hovyo hovyo hapa duniani.. why nipo nyuma ya mdaa.. tena namba DY....
Hapa nilipo nina hasira hatari. Nimekwenda mahali nikapaki mkweche wangu wa Corolla. Nimemaliza mishe zangu nakuta pembeni kuna kitu hiki cheupe kipya kipya. Kuangalia ndani nikakuta pisi moja junior Yutong hivi inaongea kwenye simu. Uzalendo ukanishinda nikagonga dirisha ikalishusha. Piga piga stori pale nikiisifia hiyo ndinga mpaka nikaifikisha kwenye personal issues. Pisi ni singo maza na ilishawahi kudate Nigerian boy japo boya hakuacha resume nzuri. Tetea sana Uafrika pale...from the land of Kilimanjaro and the Serengeti na kamba za hapa na pale. Namba nikapewa na kutaniko la pili ni Jumamosi hii....kwangu! Pisi ni dentist...
Mmeniharibu mpaka nikiona huyu mnyama nawakumbuka...na makonfidensi juu. Ngoja tuone hiyo Jumamosi. Si ajabu nikapewa kuiendesha hii ndinga hata kama ni maeneo tu ya home....Maisha!
Lo lote litakalotokea hiyo Jumamosi lawama ziwaangukie wewe na Fortnox. Hamfai
Lovelucky anazielewa.. kuna siku nilikutana na ka binti kadogo tu huku kitaa kana hiyo chuma.. nikabaki nacheka tuu.. na mie nilikuwa na myama wangu ila nikaweka salute tu aisee