Fortnox Bro.. leo nimepata hasira sana.. kuna sehemu niliingia nimekaa nakula zangu cigar yangu... kidogo akaja dogo mmoja.. katulia pale mnene kama mie Hi tu, kila mtu biashara yake.. kutoka dogo ana chuma hiyo dah! Nikarudi ndani kwanza kufanya hesabu zangu vizuri na kujiuliza nafanya mie kijana wa hovyo hovyo hapa duniani.. why nipo nyuma ya mdaa.. tena namba DY....
Shimba Ya Buyenze
chombo ilikuwa kama hii.. kitu peruuu
View attachment 2168449