Hapana bro hilo tu mbona dogo sana huwa napuuzia sana vitu mie hata wooote hapa muanze kunitukana Sijui kunichamba kiswahihi kizungu hata kikwenu mie nawacheka tu naendelea na mishe zangu kama siwaoni
Hicho sijakisoma,mimi am more into crime stories,romcom na napenda sana biography,jitahidi umalize,kusoma vitabu kuzuri sana japo majukumu nayo yanatubana...