ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,476
- 49,861
Chitakiiiiiii🥹😔😹😹😹 unaogopa kumbe?
Haya nimekupitisha uwe mke mwenza tumlee mume..!!
Zamu zote nimekukabidhi, ulale naye mwaka mzima mi arudi kwangu uchaguzi wa 2030 😹
Chitakiiiiiii🥹😔😹😹😹 unaogopa kumbe?
Haya nimekupitisha uwe mke mwenza tumlee mume..!!
Zamu zote nimekukabidhi, ulale naye mwaka mzima mi arudi kwangu uchaguzi wa 2030 😹
Acha njaa aunt yangu..!! 😹😹Pesa haijawahi kutosheleza😹😹
😹😹😹 Na nitamuharibu kweli mpaka amsahau aunt yako wa kitasha..!!Utaniharibia anko wangu
😹😹😹 Bora auvunje kama mpwa mwenyewe wewe mnoko unambania kula totoz..!!Anko akilijua hili na undugu anavunja. Anapenda totoz yule😹😹
😹😹😹 Hii pochi au kimfuko?Amkeni muone mali🌸🔥🔥😍
View attachment 3694611
Wewe na maghayo mapacha 😹Hivyo vyote ni vitu vimoja .
Kufanya kazi ni sawa na kumtafuta Maghayo , sababu alitambia kuwa amenizidi umri , pesa na exposure . Nikamuahidi nitapambana ibaki amenizidi umri tu .
Hiyo siku baada ya kupiga tutacheka na kupiga stori sana 😂
Chino kumbe una alteza na husemi? 😹😹Udhaifu wa chino
Hiyo forum nasikia Penseli alikua anaedit nyuzi na kutukana member kwenye nyuzi zao 😹😹😹Hii sio jamii forum ni Forum nyingine, mshamba hachekewi ni moderator na Wana Jf wengine , hiyo ndio ID yangu tokea mwaka 2024 😂 View attachment 3694736
Ila coca shem kuna nati haiko sawa kichwani 😹😹Rhabhekhaa!! My huzbiee!! 😘😘😘
Shem njoo upite tuone ulichopewa 😹😹Jana nilipita Hapa. Wakati upo unaoga. Nilitaka niwaonyeshe kile alichonipa baba. Baadae pia uje tufanye mambo.
Hutaki vipi na chino huku anaweweseka akikumbuka kichuguu..!! 😹😹Chitakiiiiiii🥹😔
Eeeeh usiniambie kumbe mume kanyooka hana kipengele 🤗Chino kumbe una alteza na husemi? 😹😹
ShesRise_1 mume wetu ana ndinga, safari za saloon usafiri upo haina haja ya kupepea na boda..!!
Eeeeh usiniambie kumbe mume kanyooka hana kipengele 🤗Chino kumbe una alteza na husemi? 😹😹
ShesRise_1 mume wetu ana ndinga, safari za saloon usafiri upo haina haja ya kupepea na boda..!!
Haha na bado nawewesekaHutaki vipi na chino huku anaweweseka akikumbuka kichuguu..!! 😹😹
Hilo suala lako nitalisimamia mpaka nihakikishe anakutibu maradhi yanayokusibu..!! 😹Haha na bado naweweseka
mchuchu ShesRise_1 alidhamiria kuniteka na kafanikiwa nami Sina ajizi niwe mateka wake tu
Hizi peni bwashee nilikuwa natumia wakati wa mitahani tu 😀Hazipo madukani ya kawaida , Kuna duka special nanunua boksi zima , rejareja nilikuta mitaa ya posta inauzwa mona buku lol😎
Nazipenda ziko unique kimuonekano na muandiko.
Hii blue 💙 View attachment 3694050
Hapa nikiwa na black 🖤
View attachment 3694051
hehehe dah!!!Chino kumbe una alteza na husemi? 😹😹
ShesRise_1 mume wetu ana ndinga, safari za saloon usafiri upo haina haja ya kupepea na boda..!!
😅😅😅 atakula alikopeleka mbogaHutaki vipi na chino huku anaweweseka akikumbuka kichuguu..!! 😹😹
Aweeeeeee😅😅hehehe dah!!!
Ntajitahid niwe nayo kabla mwaka hujapinduka pisi kama ShesRise_1 unaruhushji akapande dala dala akutane na Dunga Dunga.
Na kile kichuguu lazima dunga dunga wakibambie kwenye mwendokasi..!! 😹hehehe dah!!!
Ntajitahid niwe nayo kabla mwaka hujapinduka pisi kama ShesRise_1 unaruhushji akapande dala dala akutane na Dunga Dunga.