Hivi kutokula sanaa kuna sababisha mwili upungue au mawazo kichwani binafsi nikiwa na Stress sihitaji mazoezi mwili unakuwa kama Mange kinambiπ¬βΉοΈ

Siri chakula na sipendi kula.. ila ukija kwenye weight utashangaaa.. na hapo ndio hata nikiendaga fanya checkup huwa wana shangaa.. ka mwili hamna kitu wala mafuta ila wait kama chuma cha pua πππ nahisi kuna zaido ya hayo

Weee shika adabua.. mie sio mdogo nitakufuta kazi.. πππ. Mifupa ina madini yote muhimu na hata upako huwa unakaa kwenye mifupa.. refer : Elisha Nabii