[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba we huvaagi sasa?
Unatumia nini kupata appetite?umefanya kwa muda gani?
Hivi huwa hakuna dawa za kukata apetite? mimi kula napenda [emoji3]
Vimbaumbau haturuhusiwi ku-balance? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Boss ledi mahondaw tunaomba uweke yako kubalance shepuu
Leo shepu day
Siku hiyo ikifika jamani [emoji23][emoji23]Ila ukipungua nalo litapungua tu...
[emoji3059]Kucha nzuri[emoji3531]
Ahsante Cha urembo
Naomba ukiwa free tupe darsa sasa la scrub ya mwili mzima. Skin- care routine yako kwa ujumla
Ewaaa
Ngoja sasa niongeze na scrub kwenye kaparachute kangu[emoji23]
Nkamu nielekeze na ya uso.
Tangu joto limezidi uso wangu umekuwa na mafuta[emoji3064]
Dark spots kibao...unakeraaa[emoji51]View attachment 2167053
[emoji3059]
Nasubiri ile picha yako kabla nywele hazijakatika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawaaah[emoji28]
Shosti sivaagi yaani hii rangi ..
Mno
Unataka kuwa mnene kama kifusi nkamu??[emoji1787]
Hadi nikafikiria zile picha za sister nilizoweka ..ulizokuwa unasema siwezi kuwa na mwili zaidi yako
Yule tu ana kilo 75.
Siku hiyo ikifika jamani [emoji23][emoji23]
Chipsi hizi tamu ila .
Ewaaa
Ngoja sasa niongeze na scrub kwenye kaparachute kangu[emoji23]
Nkamu nielekeze na ya uso.
Tangu joto limezidi uso wangu umekuwa na mafuta[emoji3064]
Dark spots kibao...unakeraaa[emoji51]View attachment 2167053
Mnaruhusiwa nkamu cha muhimu tu muwe na vishundu[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Vimbaumbau haturuhusiwi ku-balance? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Joy ana uncle wa kishua SanaNamchukulia Joy mazaga zaga [emoji3][emoji3]View attachment 2167078
Ugali situmii sanaChipsi tu,ugali dagaa mlenda vipi?[emoji2][emoji2]kupungua ni mtihani asee inatakiwa ujikaze hasaa
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawaaah
Kwenda zako. Hatuna vishundu na tunapost🤣🤣🤣Mnaruhusiwa nkamu cha muhimu tu muwe na vishundu[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Au na wewe uweke ile ya kwenye gauni linalokaaga kwenye begi tufunge mjadala [emoji16][emoji16][emoji16]Boss ledi mahondaw tunaomba uweke yako kubalance shepuu
Leo shepu day
[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kwenda zako. Hatuna vishundu na tunapost[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lile ni la mtoko tu na shemejiAu na wewe uweke ile ya kwenye gauni linalokaaga kwenye begi tufunge mjadala [emoji16][emoji16][emoji16]